JUX na Vee Money mpambano unaendelea

JUX na Vee Money mpambano unaendelea

Namuonaga kama ana kakuzubaa flani kwenye mahusiano wanawake wanamzidi nguvu, km huyo V ndo kabisa alimuacha parefu ni wale wanaume unaweza kumfokea na asikufanye kitu,
Si ndio mnapenda wanaume wanamna hiyo?? Waramba lipsi.

Huyo jux hata prisca atamtawala ni swala la muda tuu
 
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.

Mada za fesibuku na tikitoku huku zinafata nin?? Mnatuharibia jukwaa kinoma. Na tukisema mnatuona wa kale haya bhana!
 
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
Mind yar own busness
 
Kwa mtazamo wangu naona jux ndiyo anatumia nguvu kubwa sana aonekane na yeye kajibu, ila Vanessa alishaondoka zamaaani kwake na ndiyo maana hakuwa na mashow off mitandaoni sidhani kama Vanessa anawaza kushindana na jux kwenye mahusiano ilihali yeye maisha ya ndoa kayaanza kitambo
ni kweli, Jux ndio bado anaumia ndio maana anajaribu kumuonesha vee kua na yeye anaweza, ndo mana nae kaenda kuoa Nigeria, arelax tu apooze machungu
 
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
😂😂😂😂😂
 
Unaonea kwenye channel gani hayo mambo ya vanesa na jux? Kisimbuzi hikhiki cha azam tv burudani kwa wote?
 
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
Jux tu awe makini
Asije kutaka kumkomoa Vee mwishowe akaumia mwenyewe.
Vee ana furaha na maisha yake, mumewe anampenda sana.
Tumuombee kaka yetu Jux apate upendo wa dhati huko Nigeria kama anapopata dada yetu Vee.
 
Tuombe Mungu yule binti asichane mkeka Kwa Jux
Jux atajinyonga wallah
Kabisa, msichana mwenyewe mdogo akili za kitoto anaonekana...
Ndoa imekuwa kama movie vile...

Tunawakumbusha kuna ndoa na sherehe
 
Habari wakuu,

Bwana mi nimewamiss,

Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.

JUX kwanini aoe Nigeria?

Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.

Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.

Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.

Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.

Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.

Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.

Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.

Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.

Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
Jux ni kabila gani Kwanza Tuanzie hapo
 
Namuonaga kama ana kakuzubaa flani kwenye mahusiano wanawake wanamzidi nguvu, km huyo V ndo kabisa alimuacha parefu ni wale wanaume unaweza kumfokea na asikufanye kitu,
Sura yake imekaa kipole ya kuzubaa.
Ajitahidi tu kuchangamka maana asipokaa sawa atapelekeshwa sana na tupate aibu ya taifa.
 
ni kweli, Jux ndio bado anaumia ndio maana anajaribu kumuonesha vee kua na yeye anaweza, ndo mana nae kaenda kuoa Nigeria, arelax tu apooze machungu
Ngoja apambane na masherehe arudi bongo aanze kuishi kama winga mnigeria apeperuke arudi kwao
 
Back
Top Bottom