Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, ni baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni Rotimi muigizaji wa filamu nchini Marekani
Jux amesema hayo kupitia EATV & EA Radio Digital, ambapo ameeleza kuwa mapenzi sio mashindano na mtu unatakiwa kufanya kutokea moyoni. "Sijui kwanini amesema hivyo ila kama ni yeye ameona hivyo sawa siwezi kukataa, kwanza muda huo sina pili mimi nina maisha mengine, pia ninaheshimu mawazo yake hata kama anaona hivyo lakini ninachoweza kusema kwenye maisha ya mapenzi hakunaga mashindano" - Jux
Hisani: Swahili World