Juventus Vs Ac Milan, it's pay back time Milan

Juventus Vs Ac Milan, it's pay back time Milan

Hongereni wanazi wenzangu wa Juve...

Forza Juventus...

Weekend imeenda vizuri sana hii...Yanga kashinda, Arsenal kashinda, R. Madrid kashinda na Juve leo kashinda...What a weekend...Pole sana mkuu wangu Gang Chomba
 
Pamoja mkuu...
Hongereni sana
 
Juve hawanifurahishi.nataka striker wawili wa maana na viungo wawili na mabeki wawili wa pembeni wepesi kupanda na kushuka.pole mkuu Chomba lakini sifurahii sana maisha Turin mwaka huu.nahitaji Legendary Juventus irudi,kama ile iliyokuwa chini ya marehemu mzee Umberto Agnelli,luciano Moggi,marcelo lippi n.k.bado hatuna timu nzuri.tumejaza kwa quantity but very few Quality!pia nahitaji usajili wa kueleweka milan,inter,roma,napoli na lazio.bila hivyo ligi yetu inakufa!naomba niwe muwazi waungwana sifurahii maisha seria a mwaka huu.sijui kama hizi ni stress za UEFA ndio bado zinanisumbua au la!Chomba niacheni tu nipumzike,gap la uchumi kati ya seria a na ligi nyingine linaniumiza kichwa sana aisee!linaonekana wazi sana.huyu Marotta na sera za kusajili wachezaji walioexpire mikataba huyu ndo ananichanganya kabisa,ah!sina raha mwenzenu!
 
hands shakes...
Forza Juve
sitaki hongera zako Chomba.sijafurahia goli la penati wala uchezaji wa milan na juve!kiwango hamna.ovyo tu!wanazingua tu!nimechukia sana kutoka Uefa kwa timu zetu kwa aibu vile!bado nina hasira!
 
Hongereni wanazi wenzangu wa Juve...

Forza Juventus...

Weekend imeenda vizuri sana hii...Yanga kashinda, Arsenal kashinda, R. Madrid kashinda na Juve leo kashinda...What a weekend...Pole sana mkuu wangu Gang Chomba

Ila mkuu Bala wana Juve wananing'ata sikio kuwa hujawahi kujitambulisha mbele ya hadhira kuwa wewe ni Mjukuu wa Lavecchia...
Vp kuna ukweli wowote?
 
kazi nzuri sana .... forza ragarazi ... conte atutafutie striker mmoja msimu ujao
 
Ila mkuu Bala wana Juve wananing'ata sikio kuwa hujawahi kujitambulisha mbele ya hadhira kuwa wewe ni Mjukuu wa Lavecchia...
Vp kuna ukweli wowote?
Hahaaaaaa...
Si kweli mkuu...Mwambie afuatilie post zangu za mwaka 2008 ama 2009 kama sikosei, nilishajipambanua na kutaja timu zote ambazo nina mahaba nazo...Yanga,Toto 0africans, Mwadui FC,Arsenal, R.Madrid, Juve, Ajax na Bayern Liverkusen...Hizo ndizo timu ambazo nina mahaba nazo mkuu...
 
Ila mkuu Bala wana Juve wananing'ata sikio kuwa hujawahi kujitambulisha mbele ya hadhira kuwa wewe ni Mjukuu wa Lavecchia...
Vp kuna ukweli wowote?

Pia mimi ni mnazi mkubwa wa Ureno na Stars...Taifa Stars...lol...Na wana Pambamoto, Orch. Vijana Jazz Band na Muumini mzuri wa Mtakatifu Ronaldo Asis De Moreira...almaaruf kama Saint Dinho...Ronaldinho
 
Aaah umeua...hah hah hah mie Nginde, mie Azzurri, mie Rosonelli, mie Abajalo, Mie Yanga na pia ni muumini wa Saint Dinho Gaucho
 
kazi nzuri sana .... forza ragarazi ... conte atutafutie striker mmoja msimu ujao
Tayari Fernando Lorriente kutoka Athletic Bilbao ameshasajiliwa anatua msimu ujao
 
Aaah umeua...hah hah hah mie Nginde, mie Azzurri, mie Rosonelli, mie Abajalo, Mie Yanga na pia ni muumini wa Saint Dinho Gaucho

Hapo penye Nginde pia panahusika...Baada ya Pambamoto kupotea katika anga za muziki...Nginde ndo wamechukua nafasi...Nginde ndo kila kitu kwa sasa...Sikinde ngoma ya ukae
 
Lorriente mzigo ule. Pale auzwe Matri then aletwe striker mmoja kutoka ligi ya ujerumani. Lewandowsk vp, Mandzukic wenyewe tulimbwela akaenda Bayern, Vp Gotze, Van persie tulimbwela, Cavani vp tukikomaa si tunampata, Hata mario Gomez hajachuja kivile. Yani nikimkumbuka LUCIANO MOGGI MZEE WA MIPANGO NATAMANI SANA URUDI TENA VINOVO TORINO. Marota anazingua. Mm nasema ukweli Juve wasipo sajili milani inakuja kuchukua utawala tena mda si mrefu. 7bu milan wakifulia wanafulia kweli lakini wakijenga timu yao Ulaya nzima lazima ijambejambe. Juve tulijenga timu enzi za Moggi, mipango uwanjani mipango mfukoni. Forza juventus
 
Nashangaa usajili wa Juventus hivi karibuni hasa upande wa washambuliaji Anelka,Bertnder,Matri,Quagriela,Lorrien wengi sio wa kuchezea Juve cha msingi mna viungo na mabeki wafungaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom