Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Leo kwenye majira ya saa 21:45, the Bianconeri tutakua tunalipa kisasi kwa Milan baada ya kutufunga kwa goal moja la penalty ya kupewa mwaka jana pale San Siro.
Ushindi wa leo utaongezea nakshi kwenye Scudeto ambayo tushaiweka kimiani,it's just a matter of time!
Ave Bianconeri!
Ushindi wa leo utaongezea nakshi kwenye Scudeto ambayo tushaiweka kimiani,it's just a matter of time!
Ave Bianconeri!