Juventus Vs Ac Milan, it's pay back time Milan

Juventus Vs Ac Milan, it's pay back time Milan

Nashangaa usajili wa Juventus hivi karibuni hasa upande wa washambuliaji Anelka,Bertnder,Matri,Quagriela,Lorrien wengi sio wa kuchezea Juve cha msingi mna viungo na mabeki wafungaji

hapo chacha..
 
Juve hawanifurahishi.nataka striker wawili wa maana na viungo wawili na mabeki wawili wa pembeni wepesi kupanda na kushuka.pole mkuu Chomba lakini sifurahii sana maisha Turin mwaka huu.nahitaji Legendary Juventus irudi,kama ile iliyokuwa chini ya marehemu mzee Umberto Agnelli,luciano Moggi,marcelo lippi n.k.bado hatuna timu nzuri.tumejaza kwa quantity but very few Quality!pia nahitaji usajili wa kueleweka milan,inter,roma,napoli na lazio.bila hivyo ligi yetu inakufa!naomba niwe muwazi waungwana sifurahii maisha seria a mwaka huu.sijui kama hizi ni stress za UEFA ndio bado zinanisumbua au la!Chomba niacheni tu nipumzike,gap la uchumi kati ya seria a na ligi nyingine linaniumiza kichwa sana aisee!linaonekana wazi sana.huyu Marotta na sera za kusajili wachezaji walioexpire mikataba huyu ndo ananichanganya kabisa,ah!sina raha mwenzenu!

Honestly umeandika kweli tupu and I feel you na me naumia kuwa isingekua kwa Mourinho na Inter kuchukua UCL ndani ya dk 90 team za Serie A zingepunguzwa kwenye UCL,inauma sana kwamba Serie A imepoteza umaarufu kiasi hicho, tho kwa kufanya hivyo unakubali kuwa soccer la miaka hii haliendi bila pesa, kuattract the so called "world class players" cku hzi unahitaji kuvunja bank for transfer fees na kuwalipa mishahara ya kufuru.

Juzi hapo wajerumani walikua wanalalamika kua bundasliga itakua monopoly kama La Liga ingawa kocha wa Dortmund akasema itakua kama Scotland kwa sababu uwezo wa kifedha wa Bayern Munich ni mkubwa sana kuliko club yoyote in Germany na they can get any player they want. Sasa this is madness, kwa mwendo huu hata kama Bianconeri tutasajiri kina Messi ligi itakua ya team mbili au tatu, and that's won't be fair kwa team zenye uchumi mdogo. La Liga na Scottish ni mifano in fact hata EPL, Bundasliga ndio hivyohivyo. Itakua badala ya kudevelop talent tutakua tunatafuta wawekezaji walete mapesa ili team zibuy their way to success, huu ni UPUUZI, tumebakia na mapenzi ya soka kwa sababu kwa sisi wengine soccer is part and parcel ya maisha yetu, cant live without it,lakini soccer la sasa LINABOA kwa kweli. Nadhani hizi so called club tajiri za Ulaya zingeanzisha ligi yao ili kuwe na fair competition.
 
Lorriente mzigo ule. Pale auzwe Matri then aletwe striker mmoja kutoka ligi ya ujerumani. Lewandowsk vp, Mandzukic wenyewe tulimbwela akaenda Bayern, Vp Gotze, Van persie tulimbwela, Cavani vp tukikomaa si tunampata, Hata mario Gomez hajachuja kivile. Yani nikimkumbuka LUCIANO MOGGI MZEE WA MIPANGO NATAMANI SANA URUDI TENA VINOVO TORINO. Marota anazingua. Mm nasema ukweli Juve wasipo sajili milani inakuja kuchukua utawala tena mda si mrefu. 7bu milan wakifulia wanafulia kweli lakini wakijenga timu yao Ulaya nzima lazima ijambejambe. Juve tulijenga timu enzi za Moggi, mipango uwanjani mipango mfukoni. Forza juventus

nakubaliana nawe kabisa mkuu.cha ajabu juve ni ya 8 kwa utajiri duniani hivi sasa.milan ya 6 arsenal ya 4.lakini usajili wa hizi timu tatu nilizotaja ni utata mtupu.labda milan kidogo wakiamuaga wakati mwingine huwa wanasajili haswa(kama ballotelli).atletico,dortmund,napoli hawamo hata kumi bora,wanawezaje kumiliki watu kama falcao,lewandowski na cavani sisi tushindwe?nilipata habari kuwa kabla ya kwenda ureno,wakala wa james rodriguez aliwaimbisha sana juve wamchukue lakini Allesio Seco akachomoa.hivi hata scout wenye uwezo wa kuona wachezaji kama Cavani wakiwa bado hawajapanda bei hatuna?scout wetu ndo wanaishia kumuona Bendtner?kaazi kweli kweli mazee!
 
Falcao walimnunua bei mbaya kutokana na pesa waliyomuuza Aguero, Lewandoski na Cavani are world class palyers kutokana na team wanazocheza, walichukiliwa wakiwa bado sio nyota tho they had the potentials na team zao zimewajenga vyema kua stars but usishangae wahikama team wakawa kina Torres.
 
Lorriente mzigo ule. Pale auzwe Matri then aletwe striker mmoja kutoka ligi ya ujerumani. Lewandowsk vp, Mandzukic wenyewe tulimbwela akaenda Bayern, Vp Gotze, Van persie tulimbwela, Cavani vp tukikomaa si tunampata, Hata mario Gomez hajachuja kivile. Yani nikimkumbuka LUCIANO MOGGI MZEE WA MIPANGO NATAMANI SANA URUDI TENA VINOVO TORINO. Marota anazingua. Mm nasema ukweli Juve wasipo sajili milani inakuja kuchukua utawala tena mda si mrefu. 7bu milan wakifulia wanafulia kweli lakini wakijenga timu yao Ulaya nzima lazima ijambejambe. Juve tulijenga timu enzi za Moggi, mipango uwanjani mipango mfukoni. Forza juventus

Fiorentina kuna Dogo anaitwa Quadrado...Wallah dogo mtamu yule.
Then katika viunga vya Friuli kuna nguli anaitwa Antonio Di Natale...teh teh mchukueni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom