Juventus Special Thread

Weeee!!! Uwiii matusi hayo sasa!! Tuwasamehe ndo soka lilivyo kupoteza ni fasta siku hazilingani!!
Leo wamehuzunisha wadau wengi wa soka hasa wa Juve.

Hata kama siku hazifanani goli nne...Hehehe kama vile genk vs Real Madrid.
 
Marking ya Leo ilikuwa mbovu sana na tangu first half.

Halafu higuan sio kila mechi anastahili kuanza na pia Eduardo sio kila mechi lazima atokee benchi.
Tuwaombee wajipange msimu ujao wa UEFA!!

The red devils tunakuja kwa kasi ya kimbunga cha Catharine na tutasambaza vilio kwa viwanja Vyote barani Uropa mithili ya number ten plague Egypt.
 
Today juve players looked too amateurish in second half, ile temperament waliyoanza nayo kipindi cha kwanza ilipotezwa ghafla na casemiro!! Na hapo ndipo walipo mruhusu isco kufanya atakavyo.
Real Madrid ya Zidane huwa inacheza sana vizuri kipindi cha pili
 
8eadc0b4ee6cf7712fd2d3cfdd259afb.jpg
131f22680ffed5d4223e5a8389123c52.jpg
 
Tuwaombee wajipange msimu ujao wa UEFA!!

The red devils tunakuja kwa kasi ya kimbunga cha Catharine na tutasambaza vilio kwa viwanja Vyote barani Uropa mithili ya number ten plague Egypt.
Ahahaha.... Ebana halafu tuliwamisi ujue!? Nyie sio wakukosa hii michuano bana sasa hivi tunawakilishwa na akina spurs wanaoishia hatua ya makundi bora hata sisi tunaotoka mtoano baada ya kukutanishwa na wababe mwisho wake sasa tumeona tupunzike tu kushiriki.

Hongereni sana kwa kurudi uefa lakini kazi kubwa ya kwanza mliyonayo ni kumnyoosha huyu bingwa wa Leo kwenye uefa super cup.
 
Jaffary Omary
Walisema juve wana beki imara wapi wapi na wapi mbele ya madrid daaaah si kwa kipigo cha mbwa mwizi kiasi kile holaaa madrid
Poa · 9 · Jibu ·
 
Ahahaha.... Ebana halafu tuliwamisi ujue!? Nyie sio wakukosa hii michuano bana sasa hivi tunawakilishwa na akina spurs wanaoishia hatua ya makundi bora hata sisi tunaotoka mtoano baada ya kukutanishwa na wababe mwisho wake sasa tumeona tupunzike tu kushiriki.

Hongereni sana kwa kurudi uefa lakini kazi kubwa ya kwanza mliyonayo ni kumnyoosha huyu bingwa wa Leo kwenye uefa super cup.
Spurs yule Joka la kibisa UEFA hana sumu.

Nyinyi sihuwamnashiriki UEFA ili mtunishe mfuko wa fedha....2006 Barc vs arsenal itachukua century kupata nafasi kama hii.

Super cup Kobe kumshinda sungura katika riadha kitabu shule ya msingi..I believe in Jose.
Shabiki wa CR7 ambao ni man u watabaki wanahang hang watashindwa wakae upande upi.
 
Daaah, Yan ndio naamka mda huu. Baada ya matokeo ya jana nilibidi nitumie vilevi vikali ili nipoteze fahamu. Kweli nimeamini usiwacheke mashabiki wanaojinyonga kisa timu kufanya vibaya.
 
Juve naipenda sana, ila nimejifunza tusiwe na mapenzi yaliyozidi kipimo maana maumivu yake yanachoma sana. Forza JUVENTUS. Msimu ujao nitaangalia mechi za serie a tu maana timu zinazotusumbua za EPL zote zimerudi, hivyo naona kama mwisho wetu ni 16 bora.
 
Juve naipenda sana, ila nimejifunza tusiwe na mapenzi yaliyozidi kipimo maana maumivu yake yanachoma sana. Forza JUVENTUS. Msimu ujao nitaangalia mechi za serie a tu maana timu zinazotusumbua za EPL zote zimerudi, hivyo naona kama mwisho wetu ni 16 bora.
 
Spurs yule Joka la kibisa UEFA hana sumu.

Nyinyi sihuwamnashiriki UEFA ili mtunishe mfuko wa fedha....2006 Barc vs arsenal itachukua century kupata nafasi kama hii.

Super cup Kobe kumshinda sungura katika riadha kitabu shule ya msingi..I believe in Jose.
Shabiki wa CR7 ambao ni man u watabaki wanahang hang watashindwa wakae upande upi .

Mashabiki wengi wa man u ndio mamluki wa madrid, sijawahi ona shabiki kweli wa madrid akaipenda man u ila 90% ya mashabiki wa man u ni madrid kindaki ndaki
 
Mashabiki wengi wa man u ndio mamluki wa madrid, sijawahi ona shabiki kweli wa madrid akaipenda man u ila 90% ya mashabiki wa man u ni madrid kindaki ndaki
Ndio hata mimi nakubaliana na wewe, japo utafiti si wa asilimia 100...

Baadhi ya mashabaki wa united kutokana na mahaba yao kwa CR7 wamejikuta wanatimu mbili.

Super cup man united vs R.Madrid utawasikia baadhi ya united wakinena yeyote atakayeshinda kwangu poa au timu zote zangu sinawasiwasi...Sasa utajiuliza kusuka ama kunyoa vyote anataka tumuweke kundi gani..?

Timu moja ulimwenguni inanitosha sina haja ya kurukaruka kama ndege...Hii inaitwa chaguo Moja.
 
Wadau kwanini tunafukuzana na dribblers? Naona transfer targets zote za Juve ni watu wenye uwezo mkubwa wa kuhold mipira na chenga kasoro Schick na Nzonzi tu.Wengine wote akina Bernardeschi,Douglas Costa,Bentancur,Orsolini ukawajumlisha na akina Cuadrado,Dybala,Alves,Sandro,hii ni aina ya wachezaji sijazoea kuwaona wakijazana kwenye vikosi vya Juve.nini kinajiri pale vinovo?
 
DC ndani ya nyumba. Finoallafine
Tatizo tunabomoa timu tena.Alves huyoo,Bonucci nae mguu ndani nje,Cuadrado hakieleweki.
Allegri ajifunze kuishi na majabali,vinginevyo ya Ferguson yatamkuta.
Ilitakiwa DC awakute hawa wakiwa pale.
Na aina ya wachezaji wanaoondoka naanza kuamini huenda kweli siku ile ya fainali vs Madrid,ngumi zilipigwa half time ndani ya chumba cha Juve,maana wahusika ndio hao hao wanaoondoka.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom