Allegri ana kazi ya kufanya kuirudisha Juventus kwenye utawala wa scudeto. Juve wameanza vibaya ligi
Hawa wamekwama kiakili, acha waendelee kuvurunda
Allegri ana kazi ya kufanya kuirudisha Juventus kwenye utawala wa scudeto. Juve wameanza vibaya ligi
Juventus imecheza mechi tatu na haijashinda mechi hata moja zaidi ya sare moja tu. Allegri kazi anayo msimu huu. Roma ina Mourinho na wamesajili haswa, Inter Milan ina Inzaghi na wamesajili watu haswa, Lazio ina Sarri nae kajipanga haswa bila kusahau Ac Milan ya Pioli na Napoli ya Spalletti. Juventus inabidi ipambane haswa kupata top 4
Mechi inayofuata wanakipiga na Ac Milan. Wakifungwa na hiyo watakuwa wamecheza mechi nne pasipo kushinda mechi hata mojaHawa jamaa walishapoteza dira miaka kadhaa sasa licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kifedha kuliko club zote italy. Haya ya sasa ni matunda ya uwoza wao waliounza mika kadhaa nyuma.
Duh! Boss upo? Umepotea kabisa mzee! Naona uliondoka na Prof. AW!habari viongozi
Duh! Boss upo? Umepotea kabisa mzee! Naona uliondoka na Prof. AW!
betting ngumKipindi cha kwanza mmekata viuno tu mpaka mmefungwa goli japo limefutwa.
Kipindi cha pili chezeni mpira siyo mnarusha matako tu wakati watu tumeweka hela
nimecheka xanaNaona jana mmewaokota wezi wenzenu wa matokeo mkajibondea