Juventus Special Thread | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juventus Special Thread

Discussion in 'Sports' started by Viper, Mar 4, 2011.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145


  [​IMG]
  Full name: Juventus Football Club S.p.A.

  Nickname(s): [La] Vecchia Signora (The Old Lady)
  Founded: 1 November 1897 (as Sport Club Juventus)

  Ground: Juventus Stadium

  Capacity: 41,254

  Owner: Agnelli family (through EXOR S.p.A, BIT: JUVE)

  Chairman: Andrea Agnelli

  Manager: Massimiliano Allegri

  League: Serie A

  2013–14: Serie A, 1st

  Website: Juventus.com  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tatizo kubwa la Juve hawana goal poachers like Ibra or Pato or Cavani (for Serie A level). Kwa sasa wanamtegemea sana Matri pekee. Hivyo kocha anachotakiwa kufanya ni kuweka viungo wengi zaidi wa kushambulia.
  Tatizo la pili, wanakamia mechi kubwa kubwa tu, utaona wakicheza labda na Inter au Roma wanakaza msuli kweli kweli ila wakicheza na vitimu vidogo wanakuwa mdebwedo sana, na hii inawapunguzia sana pointi.
  Wakijirekebisha kwenye hayo mawili uwezekano wa ku qualify upo, they still have a good team with good fighting spirit.
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Roger that bra, Also Loan player program seems useless, we need to bid world class players. Once del Neiri made a stupid decision, letting Krasic substituted. Seems Del peiro loses their soul partner (Trezegol). Big mistake has been made by Marotta.Del neiri and marotta they don't deserve for Juventus. delNeiri sticks with his old formation 4-4-2 which is no longer in use in total football. We don't have a creator such as Diego, Giovinnco. Honestly, i don't think Krasic will help us a lot.
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  amini nakwambia Mechi ya Leo dhidi ya Milan ndio inayoweza kuamsha akili zao dhidi ya ushiriki wao ktk Ligi ya Mabingwa nxt season.

  Leo ni lazma wakaze coz transfer Guru n Bianconerri Icon Luciano Moggi atakuwepo uwanjani tangu mwaka 2006 walipocheza na Parlemo.

  Pia kwa kipindi cha misimu ya karibuni ya usajili Juve wamekuwa ni watu wa kukurupuka na kusajili bila maono.

  Milan kwa msimu huu wametumia €59m ile hali Juve wametapanya €105m na hakuna muelekeo wowote.

  So mpk hapo utagundua kuwa Milan wako makini ktk uongozi, while Juve wako shaghala baghala tu..

  Forza Milan
  Grande Il Diavolo
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  pia Juve wakae wakijuwa kuwa washambuliaji wao wawili yaani Matri na Luca Toni hawako ktk fomu ya kupenya ktk ngome ya Nesta na Silva.

  Pia winga tegemeo wa Juve ndugu Krasic yuko ktk upande ambao Milan huwa hawamtumii beki wao wa kushoto kwa ajili ya kupanda na kuongeza mashambulizi.

  Hii ina maana kuwa Marek Jankulovski atakuwa kasimama sambamba na Krasic kuhakikisha hatembei kwa muda mwingi sana uwanjani.

  Pia Juve watashikwa sana ktkt coz wao mtu wao ambaye anakaba sana ni FELIPE MELO, wakati Milan ktkt watakuwa na Sungusungu ama bulldozer kama Dikteta wa kiungo Ivan Gennaro Gattuso, Midfield General Jembe Mark Van Bommel na Shoka Mathew Flamini.

  Milan wataanzisha washambuliaji watatu, Pato, Robinho na Ibracadabra ambao wamekuwa wakielewana sana kadri siku zinapozidi kwenda.

  So Milan wana nafasi kubwa ya kushinda mechi kwa uangalizi tu huo mdogo...
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Italian football is now in history ! Wapenda soka Kama Gang c mumenielewa!
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ndio maana wakaandika ''were we dare to talk openly''
   
 8. M

  Matarese JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna njia mbili tu kubwa leo kama Juve wanataka kuwafunga Milan.
  1. Attacking from the flanks kama mdau mmoja alivyosema hapo juu. Full backs za Milan sio nzuri sana hivyo kama hazitapata support za midfielders basi Krasic anaweza kuwa strategy nzuri ya kuwaua Milan na pia kuzuia viungo wa Milan wasipande sana.
  2. Keep the ball away from Pato.Huyu dogo sasa hivi ni noma, anaweza kupiga bao from nowhere halafu Milan wakaturn defensive
  3. Be physical. Kama alivyosema mdau hapo juu, Gattuso na Van Bommel ni physical na Van Bommel is an excellent passer. Hivyo pale kati Juve wahakikishe wanakuwa more physical kwani uzoefu umeonyesha Gattuso na Van Bommel wakiwekwa underpressure wana panic.
  Ni strategy kama hii waliyotumia Tohhenham kuwaua Milan.
  Kwa ufupi inawezekana Juve kuwafunga Milan leo.
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Oh yes.. todays match ndio kila kitu make no mistake Ac.Milan are on a winning streak while Juventus is the total opposite and it will be hard to stop Ac after they defeated Napoli. Expected starting Eleven Juve Side might be Buffon, Sorensen, Bonucci,Barzagli, Chiellini, Krasic, Felipe Melo, Marchisio, Martinez, Matri, Toni.
   
 10. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Congrats Gennaro Gattuso goal was awesome nice setup from Ibrahimovic , Antonio Cassano missed a golden chance , but am happy with my boys nilidhani zingekuwa goal zaidi ya tatu!! 7th place on Seria A still not good something must be Done.

  From what i saw today Milan they are Ready to spank Spurs at the lane
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kwa kweli mimi nawapenda sana waitaliano hasa hiki kibibi cha torino JUVENTUS Niliiona mechi ya jana juve hawako superb km milan lkn hii timu niliyoipenda since 1986 kweli hali yake sasa hivi si km ilivyokuwa enzi za kina ravanneli vialli atilio lombardo aaah juveeee
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  mliwasikia wenzenu walikuwa wanaimba nyimbo za kumtukuza Luciano Moggi?

  Teh teh ye sasa ndio Baba wa Juve
   
 13. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehehe alafu kijana wako gatuso jana ndio alichomeka bao lake la kwanza katika hii season na ililikuwa bao lake 8 within 11 years aliyocheza Milan na ni bao lake 18 in his entire Seria A carer..!! yaani ukiangalia hiyo statistics Gatusso Ni Beki ya maaana!!
   
 14. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hah hah haaaah yule jamaa ni soo...
  Sasa hesabu kadi zake nyekundu utaona kazi sheikh
   
 15. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Nasikitika sana kuwaona Juventus wakiwa kwenye kiwango kibovu,walikuwa na timu nzuri sana huko nyuma wakikutana na Real Madrid,Madrid ilikuwa lazima apigwe bao.Baada ya kukumbwa na skendo ya kupanga matokeo baada ya kurudi Serie A wamekuwa vibonde nawakumbuka kina Cirro Ferara,Mark Iuliano,Lilian Thuram,Pavel Nedved,Didier Deschamps ,Edgar Davids,David Trezegoal hii ndio ilikuwa Juventus chini ya Capello then Lippi.Tangu Lucciano Moggi amefungiwa naona wameshindwa kabisa kupata Kocha na wachezaji wanaowafaa zaidi ya kupoteza pesa Diego,Felipe Mello,Mohamed Cissocko,wamechemsha kabisa kuibebba Juventus naona mchezaji aliyebaki ni Chielini
  AC MILAN msimu huu watachukua ubingwa kiulaini
   
 16. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Since we came back we had Del Neri & nafikiri ndio kikwazo kwa Juve i think Del Neri should go cos he is not juve quality. Del Piero still has a lot left in him but with nobody to play off of him, that limits what he can do and he's never been a one man show. The midfield is solid, probably the strongest point of the team. With Marchisio, Melo, Krasic, and Aquilani, there's not a whole lot that can go wrong for Juve except for when Melo gets hot headed. The defense is becoming a problem though. Del Neri is pushing his ways, his players, and his systems and they just aren't working. Barzagli does not belong on the pitch. Yes, there were problems that Fabio Grosso couldn't address but now there's a problem in the centre of the defense because you have Chiellini, one of the top 5 centrebacks in the world, playing out of position. Sorenson shows a ton of promise, especially against Inter when he made Samuel Eto'o basically nonexistant. The problem is that there isn't much consistency. You see flashes of greatness but any given week, you can see them fall apart as well. I hope Next season Juve itakuwa ile Juve Uliyoitaja hapo juu
   
 17. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Juventus line up shock move for Bolton striker Elmander after spying mission

  [​IMG]

  Juventus are weighing up a surprise move for Bolton striker Johan Elmander after sending scouts to watch the Swede in action at the Reebok. Elmander has turned down the offer of a one new-year deal by Wanderers and is available on a free transfer at the end of the season.
  Juve have been alerted by these developments and, according to The Daily Mirror, are one of a several Serie A sides interested in the forward. Elmander has been played out of position on the wing by Bolton boss Owen Coyle for the past few games as Daniel Sturridge and Ivan Klasnic have been favoured upfront.
  This could persuade the 29-year-old that it could be time to move on with the appeal of European football with Juventus maybe too good to turn down. Coyle remains unconcerned about Elmander's future plans as he has other striking options should they have a vacancy to fill in the summer.
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  With the crushing news that Fabio Quagliarella is out for up to 6 months, we look back at his immense contribution to Juventus this term by way of his 9 goals for the club...

  p.s Please get well soon Fabio. We all miss you and i really hope you will come to Juve next year and play awesome again :D
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. g

  gutierez JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Italy kuna nini msimu huu,maana timu 2 zishatoka ktk champions ligi uefa,na Inter sidhani kama ataweza kumtoa Bayern Munich kwao Ujerumani,ilianzia national team ktk world cup 2010
   
 20. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Italy bana soka lao ni la kujipanga sana, na wanapokuwa tayari wameshajipanga basi lazima warudi na ndoo.
  Kama unakumbuka ktk euro 2004 walitoka ktk hatua za mwanzo, lakini world cup 2006 wakabeba ndoo ya Dunia.
  1. Buffon
  2. Zambrotta
  3. Grosso
  4. Canavaro
  5. Nesta
  6. Pirlo
  7. gatttuso
  8. De rossi
  9. Toni
  10. Alexander Peter
  11. Totti
  Mfumo 4-3-3

  Kisha Milan wakabeba Champions League 2007 na Inter 2010.
  Lakini tazama timu za taifa na vilabu kama za ujerumani, ufaransa, uholanzi na Uingereza, je zina mafanikio ya kitaifa na vilabu kwa miaka ya karibuni?

  Forza Azzuri
  Sempre Rossoneli
   
Loading...