Juventus Special Thread

Wa kwanza mimi namtetea khaaa!!! Muache kibabu cha watu!! Kimejitahidi beki zenyewe hovyooo!! Hayo mambo ya kuokoa timu mtu mmoja anayawezaga De Gea tu !!!!!!!

Aisee kama ungepata bahati ya kuona Torino watu walivyoumizana huwezi amini wengine wameacha viatu vyao dahh jamaa wanatokwa damu,juve kulikosa kombe hili dah
 
.....Kuna muda mtu au watu mnaweza mkajitahidi sana kufanya jambo flani ila ikashindikana, watu wa pembeni ni ngumu wao kujua kuwa umejitahidi sana hata kufika hatua uliyofika.

.....Ndugu, jamaa, marafiki na hasa familia huwa zinategemea makubwa mambo makubwa mno ila linapokuja suala la kushindwa maumivu yanakuwa ni makali sana.

.....Hakuna mtu anayejua maumivu wanayoyasikia wachezaji wa Juventus na mashabiki wao na Waitalia kama wao wenyewe na Mungu.

Poleni sana Wana Juventus, Mungu ameruhusu haya yatokee akiwa na sababu zake.
 
Today juve players looked too amateurish in second half, ile temperament waliyoanza nayo kipindi cha kwanza ilipotezwa ghafla na casemiro!! Na hapo ndipo walipo mruhusu isco kufanya atakavyo.
Yaani hilo ndo lilikuwa kosa kubwa sana daaah!! Dybala anavyolia i feel him.... amekula kiatu sana kipindi cha kwanza,alicheza kwa kujituma anyway ndo mpira huo!! Kila unaporuhusu kosa ndo goli.
 
Ushinde tu dear,win for my sake upate zawadi yako ya Ushindi.....hahaha enzi zetu zile Sikamona!!!..... leo utakuwa Sikamona wangu pigana kama Sikamona nikupe Zawadi ya ushindi..... ForzaJuve
Nilishawahi kukukatazaga huo ujinga wako na huyo Mourinho. Ila daaah, mpaka mwili unasisimka, majonzi ya leo sio mchezo.
 
Hawana uzoefu wa kushinda fainali
Hilo ni kweli kabisa na inatia huruma sana.

Hawa jamaa wamezoea home and away games... Yaani wanakuvizia kwao wakishapata matokeoa halafu kwako wanakuja kuzuia, kwa game moja tena ambayo inapigiwa neutral ground hivi hawawezi.
 
Aisee kama ungepata bahati ya kuona Torino watu walivyoumizana huwezi amini wengine wameacha viatu vyao dahh jamaa wanatokwa damu,juve kulikosa kombe hili dah
Inaumiza sana lakini ndo hivyo wakubali tu,Babu mwenyewe asingeweza,yaani siamini ile Juve iliyocheza kipind cha kwanza ndo hiyo iliyocheza kipindi cha pili,ingekuwa huku tungesema wazee wamefanya mambo hahaaa!!
 
9d2bbef236fcb9ff4c7907638166caf5.jpg
 
Lizarazu nakuheshimu sana pole naona karata zako zimechezwa vibaya
Hahaha... Kiukweli sijafurahi hata kidogo haiwezekani nyie mchukue la 12 wakati huo Mzee wangu hapo kila siku anaishia kunyanyua hilo unaloliona kwenye avatar yangu hapo.
 
Nilishawahi kukukatazaga huo ujinga wako na huyo Mourinho. Ila daaah, mpaka mwili unasisimka, majonzi ya leo sio mchezo.
Dady daahh!! Acha tu leo tumfariji tu Mou yaani daaahh!! Inaumizaa!!......... Ila na nyie Barca nyie ndo wachawi mlikamia sana Juve ashinde mumcheke RM matokeo kibao kimegeuka!!
 
Inaumiza sana lakini ndo hivyo wakubali tu,Babu mwenyewe asingeweza,yaani siamini ile Juve iliyocheza kipind cha kwanza ndo hiyo iliyocheza kipindi cha pili,ingekuwa huku tungesema wazee wamefanya mambo hahaaa!!
Basi ukanifariji kipenzi, haya maumivu ya leo ni too much.....dah Juventus yangu weee
 
Mimi mwenyewe nimeshindwa kuamini mpila gani wamecheza Leo..

Haijanivutia kabisa final ya leo.

Hongera kwa R.Madrid.
Lakini kwa upande mwingine juve nao wamajitakia!! Beki zao zimekatika sana Leo utafikiri walikuwa hawachezi na real Madrid na higuan nae sijajua ni kwanini kacheza dakika zote zile
 
Basi ukanifariji kipenzi, haya maumivu ya leo ni too much.....dah Juventus yangu weee
Pole sana dear wangu,mimi tena faraja yangu iko pale pale katika shida na raha,take it easy wangu mwakani nao ni mwaka mkifanya usajiri vizuri tena hope mambo yatajipa........ dear achana na soka hili twenzetu tukale soka safi isiyo na mshindani!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom