Naam hawa ni ndugu, DJ ni mkubwa, Justine ni mdogoHivi Justine Kalikawe na DJ Kalikali walikuwa ni ndugu?
Kwa muda mrefu sana alikuwa Minneapolis Minnesota.Innocent galinoma yupo wap
Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya,sote ni ndugu ni ngoma ya rasitafarian NDUGU INNOCENT GARINOMASote ni ndugu-moja kati ya ngoma zake kali sana.
Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya.Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya,sote ni ndugu ni ngoma ya rasitafarian NDUGU INNOCENT GARINOMA
Wamachinga
Duc in Altum
kama hizi ndio zilikuwa ngoma zaje hakika zilinibamba sana kipindi hiko JANK sikujua kama ndo za nguli huyu heshima kwake na yule mkuu aloimba SOTE NI NDUGUningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege ha ha aisee kitambo sana
Kwa kisa kipi kikubwa?Hivi ni kweli aliuwawa na utawala wa anko ben?
Huyu legendary huko aliko anafanya muziki kweli??maana kawa kimya saaanaKwa muda mrefu sana alikuwa Minneapolis Minnesota.
Sijajua kwa sasa yuko wapi.
That is neither here nor there.lisememwalo Lipo kln bro, mara nyingi wasanii WA reggae wanauwawa na Babylon system
Sote ni ndugu ni wa Innocent Galinoma...Sote ni ndugu-moja kati ya ngoma zake kali sana.
lugha za Watu hizo Nipe kamusiThat is neither here nor there.
Hiyo ndiyo homework yako weekend hii.lugha za Watu hizo Nipe kamusi
mbona unanitesa bureHiyo ndiyo homework yako weekend hii.
Google is your friend.