Justine Kalikawe

Hivi ni kweli aliuwawa na utawala wa anko ben?
Kwa kisa kipi kikubwa?

Justin tunamjua tangu Tambaza na maskani, tumepiga naye concerts na kushuhudia alivyopanda chati mpaka akaondoka Dar.

Tumemuokota alivyoanguka kwa kukosa protini kutokana na kutokula nyama.

Mkapa naye tunamjua toka siku za parties za Nick Mfaume Road, tumemuokota alivyoanguka usingizini kwa kuzidisha Scotch Whisky Sea View huku rais Mwinyi anamsubiri kwenda state visit Saudi Arabia no less. Tunamjua uwezo wake na udhaifu wake. Kaua watu Unguja, Kalikawe alikuwa hajafikia level ya kuuawa na serikali ya Mkapa.

Mkapa ana jeuri ya kudharau watu, mpaka atake kukuua lazima uwe tishio kweli.
 
Oyooo nipe nafasi, sina mcheche ninafanya ninalojua......

Mbona unanisakamasakama kwa maneno kiasi hata cha kutaja kuning'oa meno...

.....Mimi nimeamua kuyapiga mareggae na kizazi changu chote kitapiga reggae...

Baadhi ya mashairi ya nyimbo za Justin......

Bila kuusahau wimbo mtamu wa 'Wamachinga'

Dah...

R.I.P Justin Kalikawe...
 
Nakumbuka uncle wangu alikuwa shabiki mkubwa wa jamaa huyu, mimi wakati niko primary hapo Kati ya Dr's 3 mpaka 5 hivi, nadhani nyimbo zake karibu zote nazijua,
Jamaa naweza mfananisha kwa sasa kama 20% kwa mbali japo 20% hajamfikia kalikawe kwa ujumbe wake
 
Back
Top Bottom