Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Kuna ile mama wa kambo naitafuta sanaNenda YouTube kuna baadhi zipo. Panapofuka Moshi, MV bukoba, tatizo la ajira nk
Ninazo kunapo majaliwa nitaziwekakma kuna mtu ana nyimbo za huyu nguli wa Reggae hapa Tz naomba aziweke apa plz
Mkuu please ndg yangu ukijaliwa kuweka hizo nyimbo humu nakuomba sana uniite kiongozi. Nazipenda sana hizo nyimbo.Ninazo kunapo majaliwa nitaziweka
Minnesota line walahiNijuavyo Sote ni Ndugu ni ya Innocent Galinoma.
Mkuu please ndg yangu ukijaliwa kuweka hizo nyimbo humu nakuomba sana uniite kiongozi. Nazipenda sana hizo nyimbo.
2013 ama 2003?Ni miaka 16 imepita tangu alipotutoka mmoja wa Majemedari wa Muziki wa reggae Tanzania 13/08/2013
Atakuwa amekosea ni 20032013 ama 2003?
mkuu hizo sina! hiyo 'tenda wema' naitafuta sanaMkuu samahani naomba na hizi nyimbo zake kama utakua nazo.
-Sio Ndoto
-Reggae Ragga
-Mama Wa Kambo
-Tenda Wema
-Inawaka
-Tupo Njia Moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alikua poa sana na sijui alikufa kwa maradhi gani?Mimi albam yake ya mwisho ninayo ina nyimbo kama.KITENDAWILI TEGA.nk
Mkuu samahani naomba na hizi nyimbo zake kama utakua nazo.
-Sio Ndoto
-Reggae Ragga
-Mama Wa Kambo
-Tenda Wema
-Inawaka
-Tupo Njia Moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Naijua.nayo pia haina hizo nilizoziandika hapoKuna channel moja ipo YouTube inaitwa Tanzania asilia ina nyimbo zake nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app