Just for curiosity: Wasanii wanalipwa Shilingi ngapi Youtube?

dogo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
798
Reaction score
697
Hivi wasanii au mtu anapoweka video yake Youtube analipwa Shilingi ngapi za Kitanzania? Kinachoongeza kipato ni namba ya views, downloads au na urefu wa wimbo pia?

Kwa mfano video ya dakika 4, yenye view Milion moja, mwenye video anapokea Sh ngapi, na anaipataje hela yake kutoka Youtube?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau wewe umeuliza. Inashangaza hadi sasa hivi kuna watu wengi sana ambao hawaamini kuwa mtu anaweza akatengeneza mkwanja kwa internet tu... Japokuwa stori na shuhuda ni nyingi ila bado watu wabishi.

YouTube ni njia moja wapo tu. Kama una kismati na ngekewa unatengeneza mamilioni ya pesa kabisa. Cha msingi ni content ambazo zitashika watu.

> Ilivyo ni kwamba, Google inalipa asilimia 68% za mapato yake ya matangazo kwa chaneli husika ambayo imesajiliwa kulipwa. Kwa hivyo kwa kila shilingi 100 za kitanzania, kwa mfano, Google inawalipa wamiliki wa content husika shilingi 68.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata Google.

> kama YouTube channel inao uwezo wa kutengeneza hadi shilingi 41,500/= za kitanzania kwa view 1,000. Hiyo ni asilimia 100% ya mauzo. Je asilimia 68% ya hiyo 41,500/= ni shilingi ngapi? 41,500 × 68 ÷ 100 = 28,220. Hivyo kwa kila views elfu moja, mtu anatengeneza 28,220 za kibongo.

Turejee kwenye swali lako: Views milioni 1 ni sawa na shilingi ngapi? 1,000,000 × 28,220 ÷ 1,000 = 28, 220,000.
 
> Gharama anazolipia mtoa matangazo ni kati ya shilingi 230 hadi 700 kwa view moja, ila mara nyingi ni kwenye shilingi 415 kwa view moja. Sasa asilimia 68% ya 415 ni ngapi? 68 X 415 ÷ 100 = 285. Kwa hivyo kwa view moja, kuna uwezekano publisher analipwa shilingi 285. Je hizo milioni nne views ni shilingi ngapi?? 285 X 4,000,000 = 1,145,000,000/=.

Sio kweli, ni around $ 2 to $ 7 per 1,000 Views..... Calculation inategemea na Normal Views pia Views waliotizama Tangazo kwa muda flani...
 
Angalau wewe umeuliza. Inashangaza hadi sasa hivi kuna watu wengi sana ambao hawaamini kuwa mtu anaweza akatengeneza mkwanja kwa internet tu... Japokuwa stori na shuhuda ni nyingi ila bado watu wabishi.

YouTube ni njia moja wapo tu. Kama una kismati na ngekewa unatengeneza mamilioni ya pesa kabisa. Cha msingi ni content ambazo zitashika watu.

> Ilivyo ni kwamba, Google inalipa asilimia 68% za mapato yake ya matangazo kwa chaneli husika ambayo imesajiliwa kulipwa. Kwa hivyo kwa kila shilingi 100 za kitanzania, kwa mfano, Google inawalipa wamiliki wa content husika shilingi 68.

> Gharama anazolipia mtoa matangazo ni kati ya shilingi 230 hadi 700 kwa view moja, ila mara nyingi ni kwenye shilingi 415 kwa view moja. Sasa asilimia 68% ya 415 ni ngapi? 68 X 415 ÷ 100 = 285. Kwa hivyo kwa view moja, kuna uwezekano publisher analipwa shilingi 285. Je hizo milioni nne views ni shilingi ngapi?? 285 X 4,000,000 = 1,145,000,000/=.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata Google.

Naomba kuuliza swali..

Kwa zile video za YouTube ambazo ukifungua unaenda moja kwa moja (Yaani hukutani na zile video ads za kuskip) kwenye maudhui ya mwenye akaunti, still mwenye akaunti atapata % ya ads revenue as long amemonetize akaunti yake?

Pia paying YouTube ads(ambazo zinamnufaisha mwenye akaunti) zinajumuisha mpaka display ads...?
 
Hapa siwezi kusema sana kwa sababu sina uhakika. Ila nadhani video ads za Google ni automatic process kama utakuwa umeswitch on kuruhusu zipite.

Suala la muhimu pia ni kuwa, kuna matangazo aina mbili. Unaweza usiwe na google monetization, ila ukaingiza mpuga kwa njia ya affiliate advertising. Sijui kama nimejibu swali lako. Kama sijakujibu, niulize tena tafadhali.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wa uwazi..

Hapo kwenye affiliate advertising naomba ufafanuzi kidogo..
 
Kwa lugha nyepesi, kwa mfano wewe ndio mmiliki wa chaneli ya YouTube, basi unashirikiana moja kwa moja na kampuni inayotaka kuweka tangazo lake. Maana yake hata kama hauna google monetization bado utatengeneza hela.

Angalia hii video inavyoanza kwa mfano. Imeanza na tangazo la moja kwa moja na sio la YouTube au Google. Ni dili la moja kwa moja!

You still need good traffic Mkuu..?

Maana najaribu kuwaza kwa sauti, sioni kama kuna tija kwa kampuni kukupa ofa ya kutangaza kama una traffic kidogo in term of YouTube viewers..

Implying "gharama" ya kutengeneza traffic ya kibabe kwanza iko palepale.

Naomba unisahihishe kama nimewaza vibaya..
 
Angalau wewe umeuliza. Inashangaza hadi sasa hivi kuna watu wengi sana ambao hawaamini kuwa mtu anaweza akatengeneza mkwanja kwa internet tu... Japokuwa stori na shuhuda ni nyingi ila bado watu wabishi.

YouTube ni njia moja wapo tu. Kama una kismati na ngekewa unatengeneza mamilioni ya pesa kabisa. Cha msingi ni content ambazo zitashika watu.

> Ilivyo ni kwamba, Google inalipa asilimia 68% za mapato yake ya matangazo kwa chaneli husika ambayo imesajiliwa kulipwa. Kwa hivyo kwa kila shilingi 100 za kitanzania, kwa mfano, Google inawalipa wamiliki wa content husika shilingi 68.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata Google.

> kama YouTube channel inao uwezo wa kutengeneza hadi shilingi 41,500/= za kitanzania kwa view 1,000. Hiyo ni asilimia 100% ya mauzo. Je asilimia 68% ya hiyo 41,500/= ni shilingi ngapi? 41,500 × 68 ÷ 100 = 28,220. Hivyo kwa kila views elfu moja, mtu anatengeneza 28,220 za kibongo.

Turejee kwenye swali lako: Views milioni 1 ni sawa na shilingi ngapi? 1,000,000 × 28,220 ÷ 1,000 = 28, 220,000.
vipi kuhusu jf??mmiliki wake anapata pesa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi
Marketing n advertizement need trafics
You still need good traffic Mkuu..?

Maana najaribu kuwaza kwa sauti, sioni kama kuna tija kwa kampuni kukupa ofa ya kutangaza kama una traffic kidogo in term of YouTube viewers..

Implying kuna "gharama" ya kutengeneza traffic ya kibabe kwanza.

Naomba unisahihishe kama nimewaza vibaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau wewe umeuliza. Inashangaza hadi sasa hivi kuna watu wengi sana ambao hawaamini kuwa mtu anaweza akatengeneza mkwanja kwa internet tu... Japokuwa stori na shuhuda ni nyingi ila bado watu wabishi.

YouTube ni njia moja wapo tu. Kama una kismati na ngekewa unatengeneza mamilioni ya pesa kabisa. Cha msingi ni content ambazo zitashika watu.

> Ilivyo ni kwamba, Google inalipa asilimia 68% za mapato yake ya matangazo kwa chaneli husika ambayo imesajiliwa kulipwa. Kwa hivyo kwa kila shilingi 100 za kitanzania, kwa mfano, Google inawalipa wamiliki wa content husika shilingi 68.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata Google.

> kama YouTube channel inao uwezo wa kutengeneza hadi shilingi 41,500/= za kitanzania kwa view 1,000. Hiyo ni asilimia 100% ya mauzo. Je asilimia 68% ya hiyo 41,500/= ni shilingi ngapi? 41,500 × 68 ÷ 100 = 28,220. Hivyo kwa kila views elfu moja, mtu anatengeneza 28,220 za kibongo.

Turejee kwenye swali lako: Views milioni 1 ni sawa na shilingi ngapi? 1,000,000 × 28,220 ÷ 1,000 = 28, 220,000.

Ccm mpunguze kutudanganya.
 
You still need good traffic Mkuu..?

Maana najaribu kuwaza kwa sauti, sioni kama kuna tija kwa kampuni kukupa ofa ya kutangaza kama una traffic kidogo in term of YouTube viewers..

Implying "gharama" ya kutengeneza traffic ya kibabe kwanza iko palepale.

Naomba unisahihishe kama nimewaza vibaya..
Trafficking ni lazima. Hilo halina ubishi, kaka.
 
Angalau wewe umeuliza. Inashangaza hadi sasa hivi kuna watu wengi sana ambao hawaamini kuwa mtu anaweza akatengeneza mkwanja kwa internet tu... Japokuwa stori na shuhuda ni nyingi ila bado watu wabishi.

YouTube ni njia moja wapo tu. Kama una kismati na ngekewa unatengeneza mamilioni ya pesa kabisa. Cha msingi ni content ambazo zitashika watu.

> Ilivyo ni kwamba, Google inalipa asilimia 68% za mapato yake ya matangazo kwa chaneli husika ambayo imesajiliwa kulipwa. Kwa hivyo kwa kila shilingi 100 za kitanzania, kwa mfano, Google inawalipa wamiliki wa content husika shilingi 68.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata Google.

> kama YouTube channel inao uwezo wa kutengeneza hadi shilingi 41,500/= za kitanzania kwa view 1,000. Hiyo ni asilimia 100% ya mauzo. Je asilimia 68% ya hiyo 41,500/= ni shilingi ngapi? 41,500 × 68 ÷ 100 = 28,220. Hivyo kwa kila views elfu moja, mtu anatengeneza 28,220 za kibongo.

Turejee kwenye swali lako: Views milioni 1 ni sawa na shilingi ngapi? 1,000,000 × 28,220 ÷ 1,000 = 28, 220,000.
Sio kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
what do you mean by saying affiliate advertising?

Sent using Jamii Forums mobile app
Affiliate marketing au advertising ni mfumo ambao unatangaza biashara au bidhaa ya mtu, na unalipwa kwa commissions ya mauzo yanayo tokana na tangazo lako.

Mfano: mtandao kama www.ajiras.com una mfumo huo, ukijiunga na kuchukua link yako au link ya huduma yoyote inayo uzwa mule, na kupost labda kwenye facebook groups, jamii forums au hata kwenye blogs na whatsapp

Mtu Akiibonyeza link yako, system ina gundua na kukumbuka Kuwa kaona tangazo kwako, akinunua huduma yoyote unapata % ya mauzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom