Na wewe ni mpenda usingizi sasa.......Mweh yaani muamke na kulala tena...
Hata kama ni mechi, mtachana nyavu lol
....wakaenda kuny.a
Just fill the blanks, walipoamka. . . . . .
Loh, utakuwa unakauzoefu, ha ha! What might be the reason?
Wataka kusema Bishanga akijua kitu kwishnei?
Wakakuta sensa ilishafanywa kitaambo na wao wamekadiriwa tu!
Walikadiriwa wapo asilimia kumi na ngapi vile?
wakafanya tena
Wakafanya nini BT?
nakutamani uwii
BADILI TABIA, je tupo wangapi?
swali hili nimelileta kwako kwa hisani ya Takieds (TACAIDS)