Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,155
- 128,815
Huu si ndio mwaka wa mwisho kwa Bunge? hao watafanya kazi gani?
Kuongeza gharama kwa walipa kodi! Watafanya nini muda huu uchaguzi OCT! Kaweka rekodi kuchagua jamaa wa CUF. Unapicha ya huyu Janet Zebedayo Mbene?
Kuongeza gharama kwa walipa kodi! Watafanya nini muda huu uchaguzi OCT! Kaweka rekodi kuchagua jamaa wa CUF.
Sijui kama ni Mbene huyu nime-mgoogle!
Janet Mbene -
She joined the Board in May 2006. She is a professional banker and holds a Masters Degree in Economics from University of New England, Armidale New South Wales, Australia. She has a Bachelor of Arts in Economics from University of Dar es Salaam and an Advanced Diploma in banking from Institute of Finance in Dar es Salaam. She is a Company Director and Lead Consultant SIA Limited and a member of Fair Competition Tribunal Tanzania and the Advisory Board Faculty of Business at Tumaini University in Dar es Salaam. She is also a founder member of the Association of Women Economists in Tanzania among others.
Naona ni huyu na hapa kama Miss sijui ana mume ama laa, ni muhimu kujua hili.
Rais Jakaya Kikwete amewateua Ismail Jussa Ladhu wa CUF na Janet Zebedayo Mbene wa CCM kuwa wabunge, uteuzi huo unaanza mara moja.
Jussa ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF wakati Janet Mbene ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Masaki kwa tiketi ya CCM
PM
imebaki miezi 5 au 6 rais avunje bunge ...uteuzi huu wa nini..bora wa jussa naweza kuita kuwa ni sahihi kisiasa..as gesture ya kukubali hatua ya karume na seif...unajuwa jussa ndiye mshika mkoba wa seif..miaka yote[PS] ...sasa huyu mama kuna motive gani..kama ni fadhila ...si ingetosha kumwambia ahsante na amteue mwaka 2010 mwishoni ..akishaapishwa ....kama rais awamu ya pili????
Je huyu Mama na yeye si ataondoka na marupurupu yote kama wabunge wengine tu...haijalishi ameteuliwa lini.??!!
Lengo la uteuzi sio kwenda bungeni kuwakilisha wananchi. Lengo ni kulipa fadhila....sasa nani wa kusema huwezi kulipa fadhile kwa sababu imebakia miezi michache bunge kuvunjwa?
Wananchi tutegemee nini katika uteuzi huu?? wateule hawa kwa muda mfupi wa ubunge uliobaki watawafanyia nini watanzania? Anyway, jichukulieni chenu kwa muda huo baadae laleni mbele.