Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Sorry guys,
Nimekuwa mbali na JF kwa muda lakini kuanzia sasa narejea. Kuna wengi mnaonipigia simu au kutuma applications kwangu, mnakuwa hamjaangalia vema kwani vacancies zote tunazoweka hapa zinakuwa na maelekezo ya namna ya kutuma maombi (application) hivyo inakuwa rahisi kwa mtu kuweza kutuma maombi yako. Muhimu SANA angalieni deadline ya applications.
Ahsanteni