June 2009 Vacancies (East Africa)

Duh? kazi kwetu wazee kazi kibaoooo, ila cha msingi tumtangulize tu mungu mbele tunapoomba tusiache kuomba maana hatujui bahati yetu iko wapi
 
Hongera sana,lakini mimi nipo tofauti sana kwani kila matangazo ya ajira yoyote chini ya tangazo lenyewe wanaweka na kusema "equal oppunities to equal employer" kitu ambacho siyo cha kweli wanavyo tenda ma-HR wengi kwani walio wengi wanafikia wanataka pesa waziwazi kukupeleka kwenye interview na hapo kwenye interview yenyewe wanawakilisha tu na muda mwingine wanadhihaki na kukupa maswali aidha yaa kukatisha tamaa au maswali yasiyohusu qualification yako.
 
Back
Top Bottom