Kenya 2022 Jumla ya ya kura za uRais Kenya ni 100.01%

Kenya 2022 General Election

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,176
31,967
Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya.

Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya kupotezeana muda tu.

Nirejee kwenye mada kila nikipiga hesabu jumla ya matokeo yote ya uRais naishia kupata 100.01%. Naomba kusahihishwa kama nitakuwa nimekosea hiyo 0.1% inatoka wapi mbona kama kuna harufu ya wizi wa kura ?.

1. Ruto 7,176,141 50.49%
2.Odinga 6,942,930 48.85%
3. Luchiri 61,969 0.44%
4. Mwaure 31,987 0.23%
Total 100.01%

Ngongo kwasasa najiandaa kufanya mtihani yangu ya PCM mwakani.
 
WAFULA CHEBUKATI, ukimwona na ule upara wake unang'aa unaweza jua ni msomi anayewaza vitu vya maana. Kumbe anawaza kuiba kura na kuongeza kwa mgombea wake, he is likely a corrupt man
 
Kwa hesabu hizo HAKUNA KURA ILIYOHARIBIKA hata 1?
 

Rounding off. Baba and his deep state are just looking for idiotic reasons.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…