Jumatano natakiwa nikapime UKIMWI, confidence zero


I should get hiyo kitu before sunset aisee
 

hiki kipimo nilifanyiwa sabasaba kwenye banda la tacaids daah nakumbuka yule dada ali niambia niangalie damu inavyo tembea akanielekeza jinsi ya kusoma majibu kiroho kilikua kinataka kunitoka siku hiyo.looh.
 
Kapime mkuu ili ujue afya yako.

asikuambie mtu mdogo wangu kupima sio simple kama unavyo fikiria hasa inapo kuja swala la kupokea majibu unaweza ukazimia aisee,na ukipata majibu mazuri utajiapiza kutozini tena maishani mwako ila cha ajabu sasa ndani ya masaa 6 tu unasahau yote unakula mzigo kama kawaida.
 
Pole kwanza lakini wacha kukwambie kweli kupima sio jambo rahisi ,mimi nipime jana na leo unambie tupime tena basi tumbo
lakuharisha litazuka hata lilipo tokea silijui hiyo ni kawaida lakini ukisha maliza kupima sikufichi utafurahia maisha japo huna hela mfukoni sababu afya ndio mpango mzima na utapenda umwambie mwenzio aende.. sikuizi mwenzio nna vile vipimo najipima mwenyewe manake uko kwenye majibu hayo maneno yao ndio full Bp............
 
hiki kipimo nilifanyiwa sabasaba kwenye banda la tacaids daah nakumbuka yule dada ali niambia niangalie damu inavyo tembea akanielekeza jinsi ya kusoma majibu kiroho kilikua kinataka kunitoka siku hiyo.looh.

Hakuna adhabu mbaya kama kupima ngoma.............
 
Kupima sio kazi...nimepima zaidi ya mara 50 tatizo kwenye kupokea majibu....hapo ndio penyewe...ukifanikiwa stage hiyo hata bomu unaweza kuvaa ukajilipua....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Preta kwa demu nimpendaye nitapima hata mara 10.Love is sacrificing.No gain without pain.
 
Nenda kwa daktari mwambie naomba vifaa vya kujipima HIV, atakupa kisha jifungie chumbani jipime mwenyewe , kesho yake mpigie mwambie tuende fasta tukapime nataka kwenda mjini utakua full kujiamin.
 
Tatizo ni treatment ya Nesi au mhudumu maabara kabla ya kutoa majibu. Wacreate unnecessary tension.
 
Kesho jiwahi pekee yako hosp yoyoye upime kwanza kimya kimya. Hivi hivi waweza pata fadhaa.
 
kumbe unaweza kukwepa huo ushauri nasaha?maana nasikia huo ushauri umekaa kibwege sana unaweza kusababisha ukapata presha bure. Hebu nambie naukwepaje?
Mie sikwenda huko angaza as najua huo ushauri uliwahi kunipa stress Mara ya kwanza kupima. Nilienda maabara hospital moja temeke pale...straight bila ushauri nikatoa kisusio then nikaitwa na dokta..nilimwambia anipe majibu bila maswali..nae hakusita akamwaga 'razi'
 
kupima hiv siyo kazi rahisi mimi mara ya kwanza nlipopima sikuwa nimewahi kushiriki sex kamwe mmmh lakini kupokea majibu nlikuwa natetemeka mbaya. mara ya pili nlivyopima tulienda angaza na mpenzi wangu tukapima pamoja na kupokea majibu ya pamoja na ushauri nasaa. kwenda tulienda kwa ujasiri wakati wa majibu shughuli pevu ila baada ya kujikuta shwari ni furaha kwa kweli.
usiogope piga moyo konde kapime ujue afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…