Jumatano natakiwa nikapime UKIMWI, confidence zero

among the things ambavyo huwa siogopi basi ni kupima ngoma.. kama huna mashaka na mienendo yako unaogopa nini??? yani huwa nasikia raha mnooo
 
Kapime bana.......sio ngumu.........unafika Angaza.......unakaa kwenye stuli.......anachukua kidude tu kidogo cha karatasi.......anakutoboa kidogo anaweka damu kwenye hicho kikaratasi na kidrop kidogo tu cha kidawa......sijui ni kidawa gani kile......basi damu inaanza kupanda.......inapanda weeeeee........mstari wa kwanza inapita inaenda wa pili.......inagomea pale........
anakwambia upo safi..........ugumu hapo upo wapi........?

Hivyo vidude vinauzwa?
 
Hivyo vidude vinauzwa?

vinauzwa......ila hicho kidawa sasa ndio hakipo madukani.......sijui maana yake ndio nini.........

usikubali mtu akaja kukwambia mpime na hicho kidude kavu kavu..........
 
Kapime bana.......sio ngumu.........unafika Angaza.......unakaa kwenye stuli.......anachukua kidude tu kidogo cha karatasi.......anakutoboa kidogo anaweka damu kwenye hicho kikaratasi na kidrop kidogo tu cha kidawa......sijui ni kidawa gani kile......basi damu inaanza kupanda.......inapanda weeeeee........mstari wa kwanza inapita inaenda wa pili.......inagomea pale........
anakwambia upo safi..........ugumu hapo upo wapi........?

nikiumwa nitapima
 
Mkuu........nenda kapime........ni bora kujua status yako........kufa kuko palepale........kuwe kwa ngoma au bila.......
ila kupokea majibu nayo inahitaji roho nyingine mpya mekuu........ila we kapime.......halafu dem mjanja huyo............

Mjanja sana,sijawahi ona,ingawa alishaniruhusu deep kissing ila mengne amegoma hadi tukapime,nimemkubalia ila hapa sina amani.
 
vinauzwa......ila hicho kidawa sasa ndio hakipo madukani.......sijui maana yake ndio nini.........

usikubali mtu akaja kukwambia mpime na hicho kidude kavu kavu..........

Kwa nini?nipe maujanja,mimi huwa ni mdadisi wa mambo mengi ila kwenye nyanja ya ukimwi niko mtupu.
 
Kapime wala usiogope..!
Mie hui ushauri nasaha ndio siufagilii..!
Naenda straight maabara, naacha kisusio, narudi baada ya mda naongea na dokta...nachukua mzigo...na nimemaliza..!
Ushauri nasaha ndio unaongeza presha...!
 
Mjanja sana,sijawahi ona,ingawa alishaniruhusu deep kissing ila mengne amegoma hadi tukapime,nimemkubalia ila hapa sina amani.

Wewe kesho wahi fasta kapime kivyako........coz yeye keshakupiga bao.......anajijua tayari.......
asikwambie mtu bana........hakuna anayeenda kupima kichwa kichwa........
 
Mmmmh una hatari weweeeee mwache ambiwe ukweli pengine alikua mpiga cross mzuri sasa aone magoli aliyo tengeneza
Inaonekana umecheza sana mech bila viatu kapime ila mwambie docta hata majibu yakiwa ovyo akwambie POA.
 
Kapime wala usiogope..!
Mie hui ushauri nasaha ndio siufagilii..!
Naenda straight maabara, naacha kisusio, narudi baada ya mda naongea na dokta...nachukua mzigo...na nimemaliza..!
Ushauri nasaha ndio unaongeza presha...!

kumbe unaweza kukwepa huo ushauri nasaha?maana nasikia huo ushauri umekaa kibwege sana unaweza kusababisha ukapata presha bure. Hebu nambie naukwepaje?
 
Ucogope ukimwi unapimika frsh na majibu ako utayapata vzr!, kama unaogopa kwenda kupima na kupewa majibi just go to pharmacy then get something called "H.I.V test home kit" ile unajipima then unajipea majibu mwenyewe in case you feel shy receiving your status from a Doctor. Unakaa kwa ghetto then unamaliza kila kitu... It is like a U.P.T for women... Ucogope kaza buti... it is simple like that....
 
Good,let me do that. Lakini hata hilo linahitaji moyo,damu ya wap,kwenye kidole au kwenye nyonga ya mkono.
 
Don't try, if the test would come on your unexpected cause, you will be in deep shit!
 
Good,let me do that. Lakini hata hilo linahitaji moyo,damu ya wap,kwenye kidole au kwenye nyonga ya mkono.

Ooh yeah, mostly damu inayochukuliwa ni ya kene vidole kwani kene nyonga ya mkono inahitaji utaalaamu zaidi jinsi ya kuchukua. By the way icho kifaa kinakuja direct na syringe ambayo ni ndogo haiwezi kuufikia mshipa wa mkononi. Bila shaka anahitaji moyo pia especially ukidrop sample blood inavotirika roho inadunda lakini co kiviiiiile...
 
Back
Top Bottom