Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
aise...safi sana...
wenyewe wanasema UMENIBARIKI...
najiandaa kuingia ibada ya pili...CCT chaplancy!
Mtuombee sisi wakosefu watoro wa kanisani!
amina ndio tusharudi kanisani sasa hivi na wewe umeenda au unaishia kupost tu..
aise...safi sana...
wenyewe wanasema UMENIBARIKI...
najiandaa kuingia ibada ya pili...CCT chaplancy!
Mtuombee sisi wakosefu watoro wa kanisani!
amina ndio tusharudi kanisani sasa hivi na wewe umeenda au unaishia kupost tu..
Naimani wengi mtakuwa mmeshaenda na wengine wanajiandaa kwenda kwenye nyumba za ibada(kanisani),
Mtaly nawatakia Jumapili njema na yenye baraka, God bless you...
Asante sana,imekaa vzr nawe jumapili njema.Nakwenda KKKT .
Mtuombee na sisi wengine jamani.
Mtuombee na sisi wengine jamani.
sana tuu...ijumaa ulitukumbuka lakini?
Asante sana Mtalingolo kwa baraka zako za Jumapili....ndo nimetoka zangu misa ya kwanza niko zangu naangalia wana JF ambao hawajaenda church na walipaswa kwenda na hawakumbuki kuwa hii ni kwaresma na hata majivu hawajapaka hadi leo.....Nimewaombea woteeeeee
Wewe hukubarikiwa kwenda Amyner...au ulienda Ijumaa kama mimi???
Ni kweli....wewe vipi huendi au utaenda misa ya watoto? maana naona muda unaenda na wewe bado umekomaa na JF HahahahaaaaaaaaAmeeni, upendo wa kweli Hushiriki pamoja na kujitoa daima...
Amy hujambo? Umeamkaje mumy.....Mi nlienda ijumaa pia Mtaly...