Jumapili niende Mkutano gani?

Jumapili niende Mkutano gani?

Nenda kanisani tu, siasa za bongo ni uchwara km alivyosema rostam aziz

Unaziitasiasa zabongo kuwa ni uchwara, lakini kumbuka kunawtuwatakuchaulia. Wakikuchagulia unaishi kwa kulalamika kuwa ooh huyu dhaifu, ooh hawa mafisadi, ooh. Nenda Jangwani baba ukasikie na kushiriki harakati za kuleta ukombozi wa pili.
 
1. Kama una shida ya mkwaja nenda kwa Lowassa
2. Kama unataka ubwabwa nenda Mbeya
3.Kama unataka kushangaa Chopa nenda Jangwani
 
Kama unataka wali nenda ccm.ila kama unataka chakula cha fikra jangwani ndo mpango mzima
 
Nenda Jangwani ukatakaswe na kuzaliwa upya. OPD ndio habari ya mujini.
 
Kama unataka wali nazi na maharage nenda Mbeya na mpakuaji atakuwa Nape yuleyule.
Kama unataka ukombozi nenda jangwani.
 
nenda kwenye jukwaa la ukomboz pale jangwan......upako wa ukomboz unatolewa bureeeeee.....mwache lowassa na pepo la Richmond likimtoa jasho.......!!!!!
 
Mimi ni mmiliki wa bodaboda. Lowassa anazungumza na vijana wa bodaboda Jumapili.Nataka niende kusikiliza anachowaambia na kuwaahidi.Nataka kujua sumu anayoimwaga kwa 'waajiriwa' wetu. Lowassa akiwanunulia kila mtu bodaboda yake,zetu ataendesha nani? Nataka kwenda...

Mimi ni kada mkongwe wa CCM. Jumapili kutakuwa na Maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama chetu. Ni kule Mbeya.Nataka kuwepo. Mwaka ule Mwenyekiti alitangaza 'kuvua gamba' katika sherehe kama hizi. Nataka kujua mwaka huu atatangaza 'operesheni' gani tena ya kichama.Nataka kuwepo Mbeya kusikia na kuona. Hata nauli nimeshapata. Nataka kwenda...

Mimi ni mtanzania. Nahusika na hoja za Katiba mpya na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Maboresho ya daftari hilo ni muhimu. CHADEMA watakuwa Viwanja vya Jangwani kuzungumzia hoja hizo. Watakuwepo manguli wa hotuba uwanjani pale. Hoja nzito;watu machachari. Ningependa niwepo pale ili nisikie na kuona kitakachosemwa. Nataka kwenda...

Je,niende wapi? Njia panda!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mzee Tupatupa, kipaumbele kiwe viwanja vya CHADEMA SQUARE (Zamani Jangwani)..Kwa EL itakuwa ni asubuhi unaweza ku attend pia ili upate TShirt ya Friends of Lowassa ukamringishie Mzee Samwel...Mbeya hakuna jipya zaidi ya Kunengua na kucheza Ndombolo...Hiyo nauli ongezea ada ya mtoto, kalipie kodi ya nyumba au bora unichangie mimi kwenye harusi yangu inayofanyika Jumamosi ijayo kule Kijijini Matombo
 
Nenda kwenye Mvuto zaidi utakuwa kule kwenye uzito zaidi!, yaani mwenye kisu kikali ndio anakula nyama!, kama ulivyo mkono mtupu!.
Pasco
 
Mimi ni mmiliki wa bodaboda. Lowassa anazungumza na vijana wa bodaboda Jumapili.Nataka niende kusikiliza anachowaambia na kuwaahidi.Nataka kujua sumu anayoimwaga kwa 'waajiriwa' wetu. Lowassa akiwanunulia kila mtu bodaboda yake,zetu ataendesha nani? Nataka kwenda...

Mimi ni kada mkongwe wa CCM. Jumapili kutakuwa na Maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama chetu. Ni kule Mbeya.Nataka kuwepo. Mwaka ule Mwenyekiti alitangaza 'kuvua gamba' katika sherehe kama hizi. Nataka kujua mwaka huu atatangaza 'operesheni' gani tena ya kichama.Nataka kuwepo Mbeya kusikia na kuona. Hata nauli nimeshapata. Nataka kwenda...

Mimi ni mtanzania. Nahusika na hoja za Katiba mpya na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Maboresho ya daftari hilo ni muhimu. CHADEMA watakuwa Viwanja vya Jangwani kuzungumzia hoja hizo. Watakuwepo manguli wa hotuba uwanjani pale. Hoja nzito;watu machachari. Ningependa niwepo pale ili nisikie na kuona kitakachosemwa. Nataka kwenda...

Je,niende wapi? Njia panda!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nenda kwenye mkutano ungana kuikomboa nchi,
mpira utaennda kutatazama sana kkipindi ambacho nch itakuwa iimekombolewa!

Na-imagine wakati huo, hakutakuwa na foleni sana, hutakwenda uwanja wa taifa ukwa mnyonge na zaidi mfuko wako utakuwa umenona maana mabilioni ya uswisi yatakuwa yameongeza mzunguko wa pesa!

Hutakuwa nna uzuni maana tembo watakuwa wengi maana majangili watakuwa wameshughulikiwa.
 
Nenda mbeya.. Magamba watagawa ubwabwa, khanga,tshirt na kofia!
 
Nakushauri uende kuchukua boda boda maana kama ni chopa hata kwenye tv utaiona.
 
Mimi ni mmiliki wa bodaboda. Lowassa anazungumza na vijana wa bodaboda Jumapili.Nataka niende kusikiliza anachowaambia na kuwaahidi.Nataka kujua sumu anayoimwaga kwa 'waajiriwa' wetu. Lowassa akiwanunulia kila mtu bodaboda yake,zetu ataendesha nani? Nataka kwenda...

Mimi ni kada mkongwe wa CCM. Jumapili kutakuwa na Maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama chetu. Ni kule Mbeya.Nataka kuwepo. Mwaka ule Mwenyekiti alitangaza 'kuvua gamba' katika sherehe kama hizi. Nataka kujua mwaka huu atatangaza 'operesheni' gani tena ya kichama.Nataka kuwepo Mbeya kusikia na kuona. Hata nauli nimeshapata. Nataka kwenda...

Mimi ni mtanzania. Nahusika na hoja za Katiba mpya na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Maboresho ya daftari hilo ni muhimu. CHADEMA watakuwa Viwanja vya Jangwani kuzungumzia hoja hizo. Watakuwepo manguli wa hotuba uwanjani pale. Hoja nzito;watu machachari. Ningependa niwepo pale ili nisikie na kuona kitakachosemwa. Nataka kwenda...

Je,niende wapi? Njia panda!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kwa nini uende kwa lowasa? Angalia hzo pikipiki zenu zisije zikageuka kuwa Pikimondi si unakumbuka mambo ya Richmond? Halafu nashangaa sisi watanzania mtu anakashifa nzito ya wizi na mpaka akaweka historia ya waziri mkuu wa kwanza kujiuzulu kwa kashfa ya wizi halafu eti bado tunamuona mtu poa kwa sababu tu anatupa 500 au buku la kunywea soda au bia! Kwanza zingekuwa nchi zenye maendeleo hata jina lake lisingesikika tena kwenye siasa kutokana na kashfa nzito ya kuliibia taifa! Kama kweli ni msafi mbona hajakana kwamba hausiki na hiyo kashfa! Halafu mtu wa namna hiyo ndiye mnapoteza muda kumjadili kuongoza nchi! Kweli wajinga ndio waliowao!
 
Jangwani mdio mpango mzima,kaungane na watz wenzako kujadili mstakabali wa nchi yao! katiba ndio roho ya taifa lolote achana na hao watoa rushwa na wezi wa raslimali zetu!!!!
 
Nenda kwenye Mvuto zaidi utakuwa kule kwenye uzito zaidi!, yaani mwenye kisu kikali ndio anakula nyama!, kama ulivyo mkono mtupu!.
Pasco
Mkuu we kazi kuwaza rushwa tu! "Mwenye kisu kikali" so jamaa ana "kisu kikali" kuliko chama?

Toka uwe PR wake naona inadhani kila mmoja wetu anawaza rushwa tu na hizo pikipiki hazimfikishi popote

Mawazo na masikio ya watanzania wote yatakuwa ni jangwani
 
hachana na hao wote wafanya siasa,,ungana na mm kwenda taifa kuangalia yanga na mbeya city,,,
 
Back
Top Bottom