samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda kanisani kupaka majivu leo jioni mimi ndo naelekea. Nawatakia wote mfungo mwema.