Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Mwalimu Wa Hesabu Alikuwa
Anafundisha
Akamuuliza Juma Swali,
Mwalimu: Kama Kwenye Mti
Kukiwa Na
Ndege 100 Halafu Ukachukua
Bunduki
Ukawaua 20 Watabaki Ndege
Wangapi?
Juma: Hatabaki Hata Mmoja
Kwasababu Ya
Mlio Wa Bunduki.
Mwalimu: Hapana Umekosa
Watabaki
Ndege 80 Ila Nimependa Jibu Lako
Umewaza Mbali Zaidi.
Juma: Na Mimi Nina Swali,
Wanawake Watatu Walikuwa
Wanakula Ice
Cream Kwenye Hotel Wa Kwanza
Alikuwa
Anailamba, Wa Pili Kwa Kuimega,
Wa Tatu
Kwa Kuinyonya Hivi Unafikiri Ni
Yupi
Atakuwa Mke Wa Mtu?
Mwalimu: Bila Shaka Ni Yule
Anayenyonya.
Juma: Umekosa Mwalimu Ni Yule
Mwenye
Pete Ya Ndoa, Ila Nimependa Jibu
Lako
Umewaza Mbali Zaidi.
Anafundisha
Akamuuliza Juma Swali,
Mwalimu: Kama Kwenye Mti
Kukiwa Na
Ndege 100 Halafu Ukachukua
Bunduki
Ukawaua 20 Watabaki Ndege
Wangapi?
Juma: Hatabaki Hata Mmoja
Kwasababu Ya
Mlio Wa Bunduki.
Mwalimu: Hapana Umekosa
Watabaki
Ndege 80 Ila Nimependa Jibu Lako
Umewaza Mbali Zaidi.
Juma: Na Mimi Nina Swali,
Wanawake Watatu Walikuwa
Wanakula Ice
Cream Kwenye Hotel Wa Kwanza
Alikuwa
Anailamba, Wa Pili Kwa Kuimega,
Wa Tatu
Kwa Kuinyonya Hivi Unafikiri Ni
Yupi
Atakuwa Mke Wa Mtu?
Mwalimu: Bila Shaka Ni Yule
Anayenyonya.
Juma: Umekosa Mwalimu Ni Yule
Mwenye
Pete Ya Ndoa, Ila Nimependa Jibu
Lako
Umewaza Mbali Zaidi.