PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,781
Mkuu,Wasanii wa bongo flavor wana majina mabaya na mabovu lakini wanavyojua kuyajaradia utadhani keki kumbe uchafu mtupu.
Embu fikirikia jina la Mchopange.
Mchopanga Kwenu ni tusi nini?
Mkuu,Wasanii wa bongo flavor wana majina mabaya na mabovu lakini wanavyojua kuyajaradia utadhani keki kumbe uchafu mtupu.
Embu fikirikia jina la Mchopange.
hashim alietoa shadow in the darkness
Kama humjua Hashim Dogo basi huujui vizuri mziki wa Hip-Hop TZ. Dogo hashim wa Afroreigh na Kikosi.
Kama humjua Hashim Dogo basi huujui vizuri mziki wa Hip-Hop TZ. Dogo hashim wa Afroreigh na Kikosi.
kusema kweli jamaa anajua mziki.
Hashim ndie yule aliechana kwny ngoma ya "Tunasonga" na Kikosi au