Juma Mohammed Mchopanga a.k.a. Jay Moe

Juma Mohammed Mchopanga a.k.a. Jay Moe

Kwenye nyimbo ya Jay more inaitwa Jipange aliimba ''salaam salaam kwa kaka voda millionea mwambie wadogo zako waache kula poda wale mmea'' akiwa na maana langa na mangwea waache kula madawa ya kulevya kama heroin na cocain wavute bange tu.

Lakiini Langa akamjibu kwenye nyimbo yake na kusema ''salaam salaam kwa kaka voda milionea mwambie mshikaji wako aache ushoga na uumbea'' Hiyo ilikua mwaka 2010.

Kweli mkuu naikumbuka hii.pia langa katika nyimbo ya 'kifo, jela au taasisi' alisema tena #salaam kwa kaka voda millionea mwambie moe nimeisha acha poda na sili mmea'
 
stori3 jamaa ameandika huyu duh

hasahasa stori ya inno naipendaga sana alivomalizia

unga sio siri anaupenda,na anakiri kuacha sio sawa,
bora awe mjinga anakiri ye na unga kama kawa!

namkubali sana huyu mtoto wa mohamed na mjukuu wa mchopanga
 
Uyo hasheem unamjua ww na watoto Wa mizinga wenzio ila ukiwauliza watz watakwambia Mo n best ya uyo HASHEEM

jay Mo ,Mo technic n msanii ambae kaimba karibu mambo yote yanaihusu Jamii
He z real definition of Bongo hip hop

Tatizo wabongo mnapenda ubishi wa kijinga. Wapi nimeandika simkubali Jmo? Soma uelewe sio unakuirupuka kijana.
 
Tatizo wabongo mnapenda ubishi wa kijinga. Wapi nimeandika simkubali Jmo? Soma uelewe sio unakuirupuka kijana.

Umesema "uyu jamaa ukimtoa hasheem dogo sidhani kama kuna mtu atayemfikia kwenye tungo zake"

Sikukujibu kua umkubari jaymoo !! Nilikujibu Hasheem unamjua ww na watoto Wa mizinga wenzio

Unaanzaje kusema hasheem ana tungo Kali kuliko jaymoo !! Wakati yy alisikika jukwaani tu na jaymoo anackika nchi nzima
Mpaka apo jaymoo anatungo Kali kuliko uyo hasheem ndiomana kapasua kimziki
 
Ndio tatizo la watoto wa miaka ya 90. Mnashdadia vitu wakati huo mlikuwa mnanyonya. Poa kijana yaishe.
 
#JayMoe... The GOAT.

The best Tanzanian vocalist of all time...
 
  • Thanks
Reactions: ADK

Similar Discussions

Back
Top Bottom