mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,708
hahahaBaada ya mechi hii nimeamua kutoka Arsenal na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Arsenal kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani![]()