Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

JUMA DUNI KAPOTELEA WAPI?

Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa

We umetumwa
 
Babu duni kwa heshima aliyonayo kaona akae mbali maana jamaa anamdhalilisha kila akifika stand yeye anakata gogo hadharani.

jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.
 
Ningekuwa na ndugu kama wewe mwenye akili hizi ningekupeleka mombasa wakale jicho lako maana ni pumba tuuuuuu
 
Amepima upepo lakini habari za uhakika kutoka moja ya viongozi wa Ukawa Think tank anadai CUF wamemtaka arejee CUF akamsaidie Maalim Seif kule Zanzibar
 
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.

Naona mahaba yamekujaa mpaka unataka kulia
 
Si vyema kuombea UKAWA kusambaratika,lakini muungano babaishi kama huu ni hatari kwa maendeleo ya upinzani tz.
 
Kumbukeni Juma Duni ni mzanzibar ambae chuki dhidi ya CCM na serikali zake imo ndani ya damu yake kama vile walivyo majority ya wazanzibar.

Na ni jambo lisilojificha kuwa wazanzibar siasa kwao ni uhai na ustawi Wa maisha yao ya kila siku, huwezi kumkuta mzanzibar siasa kwake ni upinzani wa simba na yanga ya kuwa alieshinda ndie kashinda.

Hivyo basi Juma Duni yuko na anapiga kampeni kama kawaida huo upuuzi wa Leo chama hiki kesho chama hiki anawaachia nyinyi wadanganyika wanywa KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO, ambao mmeshalishwa kasumba ya kuwa mambo hayawezi kubadilika hata kama atakuja nani.
 
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.

Nilichokiongea hujakijua bado. Kuwa mgombea wa chama cha upinzani alijinyea nzega stand. Hivyo wengine wameamua kukaa pembeni kujiondoa na aibu.

Mlisema magufuli ana moyo wa plastics, mkasema katengwa na mkewe kwenye kampeni na juzi mmeanzisha kuwa hajui kiingereza, siasa hizo mnazozifanya nyinyi kuna tofauti ipi hii ambayo mzee alinyea live stand. Atleast mimi nimepoint issue ambaye kiuhalisia ni kweli imetokea. Siasa hamzijui mkiona mmezidiwa mnavaa uana kondoo huku mkijifanya wasauhalifu kwa hayo mnayoyafanya kwa upande wa pili

Kubwa zima linaomba huruma ya JF moderators yaani comment yako umeandika kindezi sana. Kana kwamba wewe ni malaika
 
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.
Umesema ukweli mkuu. Wenye busara wote ccm jf wamejiweka kando wamemwagwa humu zumbukuku wa ajabu
 
Back
Top Bottom