Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Kashatiwa mtegoni kutoka hawezi, hela kala zote. AJisalimishe CCM tu.
 
Kwani samia mbona naye kanywa maji ya battery hata kusikika kwenye taarifa ya habari ni muujiza?
 
Zile Wiki mbili za Mwisho alizosema January kuwa kutatokea Suprise ya kisiasa basi ndo inakuja.Mgombea Mwenza wa Chama kimoja atajitoa hivyo kwa sheria za Uchaguzi ikitokea Mgombea Urais au Mwenza akijitoa automatically Chama husika kinapoteza haki ya kugombea. Team Fisadi imeshaingia mtegoni kazi iliyobaki ni kutegua tu mtego
 
Ulitaka aje nyumbani kwako?Duni hukumuona last week akifanya kampeni?na hii wiki amekuwa na mikutano huko mashinani pia anamsaidia raisi wa Zanzibar mwalimu self kufanya kampeni pia,ccm sera zimeisha wamebaki na porojo tu
 
Atoe takwimu ugali unaliwa na watu wangapi kwa siku na kilo ngapi kwa mwaka. Mgombea wa kisayansi na mahesabu.
 
Ila tuweke fitna za kisiasa pembeni, Duni Haji yuko wapi? Kama yupo kwenye kampeni sawa ila tunaomba tuwekewe picha yake
 
Magufuli anafaa kuendelea na kazi ya mwalimu. Anafundisha hata kupika ugali na kufundisha kupush up.
 
Ulitaka aje nyumbani kwako?Duni hukumuona last week akifanya kampeni?na hii wiki amekuwa na mikutano huko mashinani pia anamsaidia raisi wa Zanzibar mwalimu self kufanya kampeni pia,ccm sera zimeisha wamebaki na porojo tu
Chadema mashina yao yapo wapi? Huyo seif kaingia dar jana saa 9.30 alasiri kuja kumtuliza babu duni.cuf,nccr na chadema mwisho wao October 25
 
Kwani samia mbona naye kanywa maji ya battery hata kusikika kwenye taarifa ya habari ni muujiza?

Manyani hayaoni makundu yao mkuu. Kuna utata kweli juu yamgombea mwenza na mgombea wa Magamba. Kumbe wanakulana wale. Wameteuana mtu na hawara yake!

Wakaamua kumtosa Mama Amina Salum Ally wakamteua hawara. Kumbe ndomaana mke wamgombea hataki kutokea hadharani anaona fedheha, na Mme wa mgombea mwenza naye amehapa kumla kiboga mgombea kwakumvulugia ndoa yake.
 
Taatifa za ndani ya ukawa ni kuwa Babu Dunia anatarajia kuachhia ngazi siku yoyote kabla ya uchaguzi baada ya kitoridhishwa na mwenendo wa chadema ndani ya ukawa, hali inayoonekana sasa sio ukawa tena Bali ni vyama vingine kuwasapoti chadema.

Stay tuned

#HapaKaziTu
 
Yupo Na Mama Yako Guest Wanafundishana Kucheza Mchezo Wa Kukatika Ngoma Za Uswez
 
JUMA DUNI KAPOTELEA WAPI?

Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.

Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.

Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
 
Yupo likizo, ameambiwa apumzike kidogo
 
Endelea na ndoto yako ndugu
 
Back
Top Bottom