Juma Duni kubaki CHADEMA?

Duni angegombea ubunge au uwakilishi angekuwa ana tiketi yake ya mjengoni mda huu.
Haya mambo bwana.
Kubak cdm sizani kama atataka. Itabid achepukie cuf tena

Wewe ndiye mkewe au?
 

Akili yako inaongoza mataahira wenzako
 

Bado jipu lako halijatumbuliwa tu?
Likutumbuliwa utanyamaza.
 
hili swali la kijinga lishaulizwa humu zaidi ya mara 3 , hivi kwanini moderators msiunganishe hii na thread za mwanzo ?
 
Mbona hajasema kama anatafuta mchumba?Vipi dada ulitaka nini kwake babu Duni?😀😀
 
Duni Haji yule Msanii wa CCM Chalii! ndembendembe! kifo cha mende! kwisha kabisa! ??? Alikuwa comedian mzuri na nyumbu walimkubali sana!
 
Khaaaaa arudi kuuza urojo na kachumbari? Anasubiri US na Allies wake watengue urais wa Dr JPM
 
Jamani Juma Duni yule mwanasiasa aliyehama CUF na kuhamia CHADEMA na kisha kuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwa sasa kapotelea wapi? Je karudi CUF? Simsikii kabisa.

Mtujuze wenye details zozote.
 
Jamani Juma Duni yule mwanasiasa aliyehama CUF na kuhamia CHADEMA na kisha kuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwa sasa kapotelea wapi? Je karudi CUF? Simsikii kabisa.

Mtujuze wenye details zozote.

Karudi cuf, huku cdm ilikuwa dili tu. Kwi kwi kwi kwi kwikwikwikwikwi.
 
Babu Duni yuko njia panda, arudi CUF au abaki CDM. Huku kwa ma-mvi kuna mpunga wa kufa mtu. Wajue yeye na ma- mvi walikuwa mamluki/askari wa kukodiwa,kazi imeisha,DJ hana habari nao
 
Ila Babu Duni namwonea huruma .. kweli yuko njia panda .. wamemmaliza kisiasa. Hope he made his cut!
 
Tunajua kuwa Mh Juma Duni Haji alihamia Chadema ili kukidhi matakwa ya kikatiba na kuwa mgombea mwenza wa Lowassa wakati wa harakati za mabadiliko. Baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na Lowassa kushindwa, katika matukio mengi yanayohusha viongozi wa Chadema huwa namuona Lowassa, Mbowe, Mbatia, Sumaye na kiasi fulani Kingunge ndo wanaonekana. Nijuavyo mimi, Lowassa hana dhamana yoyote ya uongozi pale Chadema kwa kuwa yeye alikuwa ni mpeperusha bendera tu na hata Juma Duni Haji ilikuwa ni vivyo hivyo. Nini kinaendelea kwa Mh Jma Duni Haji kutoonekana kwenye matukio yanayohusisha Viongozi wa Chadema? Au amesharejea CUF Kimyakimya? Au ni ile Kansa ya Ukanda ndani ya Chadema inasababisha asionekane? Nini hatma yake kwenye Chama hicho mzee huyu ambaye ni Kipenzi cha Wazanzibar wengi hasa wana CUF?. Kwa mwana JF yeyote mwenye ufahamu wa kinachoendelea naomba atujuze.
 
Atarudi CUF, anapokelewa , aliondoka kwa makubaliano maalumu, na makubaliano hayo yameineemesha CUF kuliko chama kingine chote cha vinavyounda UKAWA, na kwa vyovyote kwa shinikizo la jumuiya za kimataifa CUF watapewa ushindi wawo CCM wanapiga mateke tu kwa hiyo matumaini ya Juma Duni Haji yako juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…