Juma Duni kubaki CHADEMA?

uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?

Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF

Kwa hiyo chadema wameweka mgombea mwenza ambaye si mwanachama wa chama hicho?
Huko ni kuvunja kwa makusudi sheria ya uchaguzi na kunabatilisha uteuzi wake kama mgombea mwenza..

😨
 
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?

Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF

Kwahiyo amekuwa mgombea mwenza kupitia Chadema huku akiwa ni mwanachama wa CUF?
 
kwa hiyo chadema wameweka mgombea mwenza ambaye si mwanachama wa chama hicho?
Huko ni kuvunja kwa makusudi sheria ya uchaguzi na kunabatilisha uteuzi wake kama mgombea mwenza..

😨

haya nenda kabatilishe
 
Tatizo la ccm imeweka watu wengi wasio na vigezo kwenye system. Na hawa ndio tatzo kwa sababu hutetea ugali wao kwa kujua siku ccm ikitoka nao watatoka. Endeleeni kutetea ugali sisi kwetu ni mabadiliko tu na rais wetu ni LOWASA..✌
 
Watu kama nyie ndo bado mnaamini mtu akitoka ccm basi amejichumia majanga na hivyo hatofanikiwa kwa namna yoyote. Haya mawazo yamepitwa na wakati dada, maisha ni popote.
 
Watu kama nyie ndo bado mnaamini mtu akitoka ccm basi amejichumia majanga na hivyo hatofanikiwa kwa namna yoyote. Haya mawazo yamepitwa na wakati dada, maisha ni popote.

Naam, maisha ni popote. Nisome vizuri kabla hujakurupuka, ni wapi kwenye maandiko yangu ulipoyaona hayo uliyoyaandika wewe? CCM siyo baba siyo mama ya mtu yeyote, atakae abaki na kama anaona hapamtoshi aondoke.
 
Tatizo maelezo yako yamejaa ushabiki zaidi kuliko hoja. Unaposema alienda huko kwa maslahi yake au mradi wake unamaana gani!!. Na je kwa kwanini unadhani ataachana au atarudi alikotoka??, mi nadhani hayo hayatuhusu ni juu yao wao.
 
Wewe ni hayawani. Kaongee habari za baba yako ombaomba ndio uje uongee juu ya hawa wenye maamuzi tough....
 
Tatizo maelezo yako yamejaa ushabiki zaidi kuliko hoja. Unaposema alienda huko kwa maslahi yake au mradi wake unamaana gani!!. Na je kwa kwanini unadhani ataachana au atarudi alikotoka??, mi nadhani hayo hayatuhusu ni juu yao wao.

Siyo 'mradi" nimeandika "muradi".

"mradi" na muradi (nilivyoandika) ni maneno mawili tofauti.

Ukielewa maana ya muradi hutopata shida ya kunielewa nilichomaanisha, nnakuomba pitia jukwaa la lugha wakusaidie.
 
Duni atarudi CUF na atapewa uwaziri kwenye serikali mpya ya umoja wa kitaifa.
Lowasa atarudi monduli kuchunga ng'ombe na mara moja moja atakuwa anarudi DSM kupunga upepo wa bahari ya hindi.
Sumaye atabaki DSM atakuwa anafuga na kulima mvomero.
Kingunge atabaki DSM ataendelea kuishi makumbusho na kuwauzia wananchi maji ndoo moja 500 ila ataacha kuuza maji kwa sababu rais magufuli ataleta maji ya uhakika DSM kama alivyoahidi kila nyumba itakuwa inabomba na maji yatapatikana masaa 24.

Baada ya miaka 2 kuanzia sasa hasa baada ya kuona Tanzania ya Magufuli itakavyopiga hatua haraka kimaendeleo Lowassa,Sumaye na Kungunge watarudi CCM.
 
Kama nilifahamu vizuri, Babu Juma Duni Haji (Mzee wa mbedembende) "alilazimika" kuhamia CDM kutoka CUF ili kukidhi masharti ya kuwa mgombea mwenza wa Ukawa, baada ya tume kumtangaza mshindi kutoka CCM, babu amesharudisha kadi ya CDM?. Wakuu nujuvyeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…