Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

Tatizo bavicha wana usongo na jk mpaka wanajiaibisha.sasa huyu hajui hata tofauti collapse na corrupt anataka tumjadili jk,kama si kutaka kupiga soga tu anataka nini
 
mleta mada,mfann alioutoa mwl,nchi ili kukusanaya kodi alisema ni india au itali?mwenye hiyo hotuba pls aiweke tujifunze
 
serikali zote zinakusanya kodi kosa la serikali kuwapa kazi ya kukusanya kodi akina masawe hasara yake ndio hii
 
Tatizo bavicha wana usongo na jk mpaka wanajiaibisha.sasa huyu hajui hata tofauti collapse na corrupt anataka tumjadili jk,kama si kutaka kupiga soga tu anataka nini

Bahati nzuri umemuelewa alitaka kusema nini.
 
Ni collapsed or corrupt goverment .labda mimi nimeelewa tofauti ila najua ni corrupt gvment ndo haikusanyi kodi
Heh heh lugha ya mama ni shida ni corrupt government yaani viserikali vinavyoendekeza rushwa wengine hupenda kuviita ''banana republic'' ukitaka kujua tabia zake ni kutokusanya kodi,collapse(d) ina maana nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom