Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,508
11,891
Mh.Tindu Lissu ameikumbusha serikali usemi huo bungeni.

Makampuni ya madini 0 income tax 1999-2004,1999-2012 400bn, kodi za wafanyakazi 500bn SDL yaani wafanyakazi wanalipa kodi kubwa kuliko ya hayo makampuni ya madini.

Tukumbuke VAT hurejeshwa kwa wenye migodi.

Barabara ya kwenda kwenye uhuru sii rahisi na wengi wetu tutakufaa u tutapita katika bonde la umauti katika kufikia uhuru kamili kupita katika bonde la mauti ya kifo.

Watu wanakufa Bunge linaendela na vikao kama kawaida. Anna hana la kusema pressure imepanda
 
...nakumbuka kuwa serikali iliweka utaratibu kuwa wadau wanaolipa kodi vizuri wanatakiwa kupewa msamaha..., kwa mantiki hiyo wafanyakazi inabidi wasamehewe au wapunguziwe kulipa kodi...
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema corrupt gvt hua hazikusanyi kodi aliwahi kuitaja India kipindi hicho kama mfano wa nchi iliyoshindwa kukusanya kodi.
Awamu iliyopita ni mfano mzuri wa awamu iliyoshindwa kukusanya kodi matokeo yake nchi ilifika hapa ilipo.
Wana jf hili lipoje.
 
Kennedy fikot hujui kitu.jifunze kwanza lugha za watu kabla ya kukimbilia jf
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema collapsed gvt hua hazikusanyi kodi aliwahi kuitaja India kipindi hicho kama mfano wa nchi iliyoshindwa kukusanya kodi.
Awamu iliyopita ni mfano mzuri wa awamu iliyoshindwa kukusanya kodi matokeo yake nchi ilifika hapa ilipo.
Wana jf hili lipoje.
Mkuu nadhani alipoyasema maneno hayo pale Mbeya siku ya tarehe moja mei 1995 ulikuwa unanyonya na hivyo hukumsikia vizuri. Alisema corrupt Government na siyo collapsed government. Hata hivyo collapsed government haiwezi kukusanya kodi hivyo asingeshangaa
 
Wow....!
Collapsed gvt inaexist vipi...!!!?
Nawee ni great thinker? And this is uo thread...!!!!!
My God
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema collapsed gvt hua hazikusanyi kodi aliwahi kuitaja India kipindi hicho kama mfano wa nchi iliyoshindwa kukusanya kodi.
Awamu iliyopita ni mfano mzuri wa awamu iliyoshindwa kukusanya kodi matokeo yake nchi ilifika hapa ilipo.
Wana jf hili lipoje.
Alisema corrupt Government na siyo collapsed government.
 
Du mmemshambulia lakini ndo kujifunza angekaaa na mawazo hayo na labda kashalisha na wengine huko mtaani wanaomuamini bingwa wa lungha za watu kupitia JF watajifunza pamoja sana Kennedy
 
Hayo maneno yamenukuliwa ndo maana yamefungiwa na hizo alama (") inaonesha n jinsi gan matumizi ya hizo alama zinawapiga chenga
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema collapsed gvt hua hazikusanyi kodi aliwahi kuitaja India kipindi hicho kama mfano wa nchi iliyoshindwa kukusanya kodi.
Awamu iliyopita ni mfano mzuri wa awamu iliyoshindwa kukusanya kodi matokeo yake nchi ilifika hapa ilipo.
Wana jf hili lipoje.
Mkuu hata kukopi unafeli??

kwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom