mmmh! Jamani atlas copco ina maana alivyofariki hukujua? mbona alitangazwa sana, walimzika kwao mkoa wa Mara. ni kitambo kidogo tokea Julius Nyaisanga alivyofariki dunia
mmmh! Jamani atlas copco ina maana alivyofariki hukujua? mbona alitangazwa sana, walimzika kwao mkoa wa Mara. ni kitambo kidogo tokea Julius Nyaisanga alivyofariki dunia
Mimi naishi morogoro huyo mtu alifariki muda mrefu tulishamsahau na nilihudhuria msiba wake hivyo si jambo nahisi ila ni ukweli hatunae miaka kadhaa sasa
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.