Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
Yametimia.
Hongera mkuu kwa utabiri.Kila kitu kiko tayari punde tu naye ataungana na wenzake kusaidia taifa kupitia CCM.Alipokutana na Mh Makonda kila kitu kiiwekwa sawa.
Hata ukiingia sasa katika page zake yuko anatukanana na fans wake baada ya kuwaunga mkono waliohama.
Kila la kheri Mtatiro
mm![]()
Mwenyekiti wa CUF Julius Mtatiro, akutana uso kwa uso na Paul Makonda
JF naipendeaga hapa tuKila kitu kiko tayari punde tu naye ataungana na wenzake kusaidia taifa kupitia CCM.Alipokutana na Mh Makonda kila kitu kiiwekwa sawa.
Hata ukiingia sasa katika page zake yuko anatukanana na fans wake baada ya kuwaunga mkono waliohama.
Kila la kheri Mtatiro
mm![]()
Mwenyekiti wa CUF Julius Mtatiro, akutana uso kwa uso na Paul Makonda
Hivi hiki kiitikio cha .......KUMUUNGA MKONO MKUU WA KAYA . .....hakuna kingine mpaka kitumike hiki hiki tu?Nacheck TBC naona Mtatiro naye amerudi nyumbani (CCM) kumuunga mkono Mkuu wa Kaya.
Kweli yajayo yanafurahisha.
Kweli nimeamini wanasiasa ni kama machangudoahawa jamaa hawaaminiki