chichariton
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 238
- 260
Aiseeeeeeeee
Heshima kwako mkuuKila kitu kiko tayari punde tu naye ataungana na wenzake kusaidia taifa kupitia CCM.Alipokutana na Mh Makonda kila kitu kiiwekwa sawa.
Hata ukiingia sasa katika page zake yuko anatukanana na fans wake baada ya kuwaunga mkono waliohama.
Kila la kheri Mtatiro
mm![]()
Mwenyekiti wa CUF Julius Mtatiro, akutana uso kwa uso na Paul Makonda
Acheni kuzusha zusha
-kutembelewa na mgeni mjengoni paleIjue rasmi ratiba ya rais wako.
Kwa sasa Ratiba inajulikana kabisa
~Uteuzi
~Siku ya kuapishwa
~Kutengeneza Matukio
~Kuweka mawe ya msingi
~Kuzindua miradi (kusimwangwa day)
~Ukimyaaaaaaaaaa
~Msisitizo/Matamko
~Kutenguliwa![]()
Njaa ya tumbo ikihamia kichwani ni hatari
Huy utamsubiri sana hahami maana kishaanzisha chama chake kinaitwa CUF Facebook Club na ana wanachama wengi sana. Sijajua kama atamkaribisha Maalim Seif katika chama chake kipya cha Facebook
Kweli kuzusha zushaAcheni kuzusha zusha
bado ni uzushi?Acheni kuzusha zusha
Jibu umelipata?Acheni kuzusha zusha
UnasemaaaAcheni kuzusha zusha
Leo hii sura lako unajificha choo gani?Acheni kuzusha zusha
Jf hatareJamii Forum ina vichwa vya hatari mnoo. Kumbe kuna mdau alikuja akaliandika hili humu ndani kwa ufasaha kabisa zaidi ya miezi Tisa iliyopita kuwa Mtatiro alishafikia bei.
Kweli nimeamini wanasiasa wachumia tumbo ndio wanaonunulika vizuri kwa sasa.