Julius Mtatiro: Muongo asiye na Kumbukumbu

Julius Mtatiro: Muongo asiye na Kumbukumbu

u,,,,inambidi akumbuke nyuma wakati akifanya kazi na marehemu.

Akujikumbushe tu kwamba hayati Jumbe msimamo wake wa serikali 3 ndio uliomponza na usingemponza kama SEIF na wenzake wangeungana naye tangia hapo.

Inashangaza Leo hii anajifanya mwema kwa wazanzibari ilihali yeye aliungana na wanafiki wengine kuyapinga mawazo ya mzee Jumbe mbele ya Mwl. Kule Dodoma 1984,kitu kilichopelekea shujaa huyo wa mahitaji ya wanzanzibar kuwekwa kizuizini MJI MWEMA.

Serikali tatu anazozililia Leo huyo seif,mwenyewe aliyakataa mawazo hayo miaka 30 ilopita.

Asing'ang'anie kutoa boliti ktk jicho LA mwenzie ilihali anacho kibanzi machoni mwake.
 
Source
 
COMMENT YA MCHANGIAJI

Lakini na wewe Mtatiro kwenye msiba wa Wilson Kabwe,ulilaani kitendo cha mtoto wa marehemu kutompa mkono Paul Makonda,ukasema si uungwana,unakumbuka?

Nilikukosoa na nikakuambia, kwangu mimi yule dada ni shujaa kwakuwa hakuwa na chembe ya unafiki kwa kile alichofanyiwa marehemu wakati wa uhai wake.

Leo naona majibu umeyapata,watu wanafiki haina haja ya kuwaficha,ukweli utakuweka huru,hapo SEIF kaonesha wazi kwamba moyo wake haupo na wanafiki wa CCM waliomuweka mzee Jumbe kizuizini miaka yote 32,pia wanafiki wanaowakamata na kiwatesa wafuasi wa CUF Znz.

Huo ndio ukweli na unapaswa kuwa wazi,ukweli uliojificha ni unafiki.

JIBU LA JULIUS MTATIRO

↓↓↓↓↓↓
Kuna tofauti kubwa sana kati ya tukio la Makonda na Mtoto wa Kabwe na hili. Kifo cha Kabwe hakikusababishwa Makonda. Kitendo cha Makonda kueleza tuhuma za Kabwe hadharani kilikuwa ni wajibu. Unafananisha suala hilo na hili la Shein kupora ushindi wa Wazanzibari waziwazi na kwa kutumia mabavu mwaka jana? Makonda is innocent, Shein will never be innocent kwa dhambi ya mwaka jana. Sikuwa mnafiki brother.
Hata jibu lake linaonekana la kinafiki halafu anajichanganya, Huo msiba aliusababisha shein? na iweje masuala ya siasa yaje msibani kama kweli msimamo wa Mtatiro ni wa kweli. Huyu jamaa nimeelewa kwanini CDM walimfanyia figisu kule jimboni kwake ni muongo na mnafiki sana huyu.
 
Fikiria tu,umefika sehemu ukasalimia watu lakini mtu mmoja akakataa kusalimiana na wewe ungejisikia vipi..!

Sasa huyo ni mkuu wa nchi amenyimwa mkono mbele ya wananchi wake unafikiri inaumiza kidogo??
Mkuu gani wa nchi ambae zaidi ya asilimia 50 ya wananchi hawajapiga kura
 
Mtatiro nae bhana! Kosa la Siasa ni kuwa wajinga wako kwenye siasa werevu wamebaki wanawashangilia. Mtu usiokuwa na msimamo na majibu mepesi unataka wananchi wakuamini?
 
Fikiria tu,umefika sehemu ukasalimia watu lakini mtu mmoja akakataa kusalimiana na wewe ungejisikia vipi..!

Sasa huyo ni mkuu wa nchi amenyimwa mkono mbele ya wananchi wake unafikiri inaumiza kidogo??

Ndiyo ajutie kitendo chake.
 
Wakurya wote huwa ni akili ndogo,tena huyu tangu apigwe SUNNA,Akilim zilimruka kabisa.
Wewe ni Mkaruka kweli?

Nakuona umefanana na Mkungu, Nyakoro, Yiya, Mayi, Ghoko, etc nakubaliana na wewe kwenye hoja ya SUNNA ila sikubaliani na hoja wakurya wote unless hio itabaki ni sifa yake mwenyewe.
 
Mtatiro alishapoteza harufu ya mtu makini mana anapepezuka sana.cz alivo na anayofanya hayaendani
 
Back
Top Bottom