Julius Mtatiro apandisha jazba kuhusu Tamko la Chadema kutoungana na CUF Bungeni

mtafute SHIGONGO kipaji unacho mkuu naona unavyomwaga data za udaku..

Najua utakuwa umekasirika MTATIRO..... hebu tuatie wewe zile amabazo sio za udaku utuwekee hapa kabla hatujakuona wewe ni mdaku.

Moja ya hoja alioto muhusika unaemuita mdaku ni "mtatiro kuongea tu kabla ya kufikiri" sasa kama wewe unazo hoja za kufikiri ningeomba UJENGE HOJA KUPINGA HOJA ZA MWENZIO hiki sio kijiwe cha kufundishana taarabu kama raisi wenu alivyojisifia bungeni
 
We Kiherehere, unajaribu kusema kwamba Ritz = JI?
 
Cuf si wapinzani.. Ni wakinzani.. Mtu kma Mtatiro is very potential guy hasa kwny kuongea.. I thnk angejiunga na JAHAZI ASILIA.. Coz huko ndo kuna watu wa kubwabwaja bwabwaja ovyo.. Anajua kuongea bila logic..

Tuepuke majungu,tun de value sana blog hii ya ma great thinker, we ave to be real great thinkers,au kila mtu ana definition yake ya u great thinker? nathan hapo ndo kuna tatizo
 
every time akiongea huwa nahisi anajaribu kuiga sauti ya prof. Lipumba
tunataka hoja na sio kuongea kwa jazba na kupaniki
 
Mtatiro achana na CDM! hiki ni chama cha maangamizi kwa ccm na watu kama wewe.

Na kama hauamini kumbuka ulivyoburuzwa na mh. Mnyika kwenye uchaguzi mkuu jimbo la ubungo. CUF sasahivi kimekaa kizanzibarizanzibar tu. kwa mtanzania yoyote yule aliye pigika na ccm na mwenye uchungu wa nchi hii ni lazima aipende CDM,kwani hiki ndicho chama kilicho beba matumaini ya wananchi kwa sasa.

Rais wa nchi, CCM yote, mafisadi na vibaraka wao nk, hao wote hawalali usingizi kwasababu ya CDM! UTAWEZA WEWE Mtatiro?
 
Ukiwa mtu makini kuna mambo ya kushabikia na kuna mambo ya ku reason out tatizo letu tuna mapenzi ndani ya mioyo yetu na uchangiaji mwingi unakuwa hauna tija ila ushabiki unaoambatana na maneno ya kebehi na kashfa. Itafika wakati tutakuwa real great thinkers tuta reason out na kuja na konklusheni na sio fitna na mapenzi! Ni hayo tu Magreat Thinkers wangu.

wasomi hawa wataka mabadiliko! barrier ya mabadiliko ni raia wenyewe!
 
This guy, Mtatiro is not that much bad, I guess it's just a slip of tongue. Let's give him yet another chance, ok?
 
Cuf si wapinzani.. Ni wakinzani.. Mtu kma Mtatiro is very potential guy hasa kwny kuongea.. I thnk angejiunga na JAHAZI ASILIA.. Coz huko ndo kuna watu wa kubwabwaja bwabwaja ovyo.. Anajua kuongea bila logic..
Nampongeza sana Julius Mtatiro kwa Kauli ya CUF iliomakini kwa Chama Cha Ukoo na Kilichokosa Busara CHADEMA. Mie ni Miongoni mwa Raia niliehudhuria TAMASHA Liklioandaliwa na TCD Mwaka uliopita pale katika Viwanja vya Kibanda Maiti Unguja,tamasha ambalo liliandaliwa kwa ajili ya kuwashawishi WAZANZIBARI wapige kurA YA NDIO ya Kuibadilisha katiba ili serikali iwe ni ya Umoja wa Kitaifa.TCD Kwa wakati Ule Ikiongozwa na CHADEMA na ndio Maana katika lile tam,asha ANTONY KOM alimuwakilisha MBOWE na HAMAD YUSSUF Naibu katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar ndie aliekuwa Msimamizi wa Tamasha lile Unguja na Pemba hivi CHADEMA Wako sawa sawa hawa? huu sio wazimu au kitugani? huu sio Unafiki na Uzandiki wa CHADEMA Kwa kiwango kikubwa hivi kulikuwa na maana gani ya CHADEMA Kusimamia na kushawishi Wazanzibari wapige kura ya NDIO Huku leo Munawakana Wazanzibari mlikwenda Kuwashawishi Wachaguwe ndio hivi huu ni uungwana au ndio utwana wenu ulivyokufikisheni ni aibu na fedheha DVD ipo tutiweka muwaone VIongozi wakiaibika
 
This guy, Mtatiro is not that much bad, I guess it's just a slip of tongue. Let's give him yet another chance, ok?
 
Hivi nauliza: Kitu gani kilimsukuma huyu kijana kuingia CUF? Nakubaliana na mmoja humu ndani aliyesema kwamba hutenda bila kufikiri. Angekuwa ni mtu wa kufikiri sana angeingia CDM na kugombea jimbo la Kinondoni -- bila shaka yoyote angembwaga yule goi goi wa CCM -- kilaza Iddi Azzan.

Mtatiro alijiona kuwa kufuatana na alivyofanya pale UDSM, basi angemshinda tu Mnyika jimbo la Ubungo. How wrong he was!
 
Mkuu hilo haliwezekani hapa, ni lazima watu wawe na mapenzi na watetea upande wao. Bora tu wewe ungetoa mawazo yako kama unadhani kwamba CUF inaweza kuwa chama tawala Zanzibar na wakati huo huo kikawa chama cha Upinzani Bara. Ukizingatia chama kinachotawala Zanzibar ndicho kinachotawa bara.

Well naomba niwe tofauti kidogo mimi ni mgeni lakini hapa JF mada nyingi zikiletwa kuhusu chama kisichokuwa Chadema yanaporomoshwa maneno ya kejeli na matusi. Sisi ni watu wazima tena "magreat thinkers" lazima tujipapambanue na mapenzi maana mapenzi hata chongo huitwa kengeza. Tatizo sidhani kuwa ni CUF kuwa kwenye Serikali ya kitaifa kule zanzibar nadhani tatizo walilonalo washabiki na viongozi wa CDM ni "wivu" kwanini wao wapate kule na sisi tusipate huku. Tatizo la pili ni mfumo wa Muungano ingekuwa kuna Serikali moja hilo tatizo la kwanza lisingekuwepo. Tatizo la tatu wanasiasa wasiotaka kuelewa siasa ina maana gani na demokrasia ni nini, ukitaka kusadiki hayo utaona wachangia wanavyomponda Mtatiro huku wakimwambia huko alipo sipo anatakiwa aende CDM sasa hapo nashindwa kufahamu ina maana wengi wetu humu wanataka kuwabati/kuwasilimisha watu kwa nguvu kwenye vyama wenye mapenzi navyo? Nashindwa kuelewa!!!!
 
Nampongeza sana Julius Mtatiro kwa Kauli ya CUF iliomakini kwa Chama Cha Ukoo na Kilichokosa Busara CHADEMA. Mie ni Miongoni mwa Raia niliehudhuria TAMASHA Liklioandaliwa na TCD Mwaka uliopita pale katika Viwanja vya Kibanda Maiti Unguja,tamasha ambalo liliandaliwa kwa ajili ya kuwashawishi WAZANZIBARI wapige kurA YA NDIO ya Kuibadilisha katiba ili serikali iwe ni ya Umoja wa Kitaifa.TCD Kwa wakati Ule Ikiongozwa na CHADEMA na ndio Maana katika lile tam,asha ANTONY KOM alimuwakilisha MBOWE na HAMAD YUSSUF Naibu katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar ndie aliekuwa Msimamizi wa Tamasha lile Unguja na Pemba hivi CHADEMA Wako sawa sawa hawa? huu sio wazimu au kitugani? huu sio Unafiki na Uzandiki wa CHADEMA Kwa kiwango kikubwa hivi kulikuwa na maana gani ya CHADEMA Kusimamia na kushawishi Wazanzibari wapige kura ya NDIO Huku leo Munawakana Wazanzibari mlikwenda Kuwashawishi Wachaguwe ndio hivi huu ni uungwana au ndio utwana wenu ulivyokufikisheni ni aibu na fedheha DVD ipo tutiweka muwaone VIongozi wakiaibika

Mkuu serikali ya umoja wa Kitaifa maana yake ni CUF na CCM tu????
 
Well naomba niwe tofauti kidogo mimi ni mgeni lakini hapa JF mada nyingi zikiletwa kuhusu chama kisichokuwa Chadema yanaporomoshwa maneno ya kejeli na matusi. Sisi ni watu wazima tena "magreat thinkers" lazima tujipapambanue na mapenzi maana mapenzi hata chongo huitwa kengeza. Tatizo sidhani kuwa ni CUF kuwa kwenye Serikali ya kitaifa kule zanzibar nadhani tatizo walilonalo washabiki na viongozi wa CDM ni "wivu" kwanini wao wapate kule na sisi tusipate huku. Tatizo la pili ni mfumo wa Muungano ingekuwa kuna Serikali moja hilo tatizo la kwanza lisingekuwepo. Tatizo la tatu wanasiasa wasiotaka kuelewa siasa ina maana gani na demokrasia ni nini, ukitaka kusadiki hayo utaona wachangia wanavyomponda Mtatiro huku wakimwambia huko alipo sipo anatakiwa aende CDM sasa hapo nashindwa kufahamu ina maana wengi wetu humu wanataka kuwabati/kuwasilimisha watu kwa nguvu kwenye vyama wenye mapenzi navyo? Nashindwa kuelewa!!!!

Pole Mohammed, i once share your frustrations when i was also very new. Lakini nadhani you are not as new as all that. Kwanza ni vema kuthamini kwamba siyo kwa sababu hii forum inaitwa ni ya great thinkers kwamba kila mwanachama ni lazima awe great thinker. Pili ni vema pia ukatofautisha kile kinachokukera na kile ambacho ni product ya great thinking. Tatu, wanajanvi wanavyofikiri na kuongea inawakilisha jamii ya wasomi wa tz, hivyo bora ulaumu mfumo wa elimu pale unapotafsiri jambo kuwa halina mantiki.

Mwisho nadhani hata wewe umeonesha upenzi wako kwa kusema kwamba CDM wana wivu. Hivyo you are not legitimate enough to ask Chadema funs not to defend decisions of their party in this forum. Na kwa nini washabiki wa CUF wasitetee chama chao hapa kwa hoja? Pengine nao wanakubaliana na hoja za Chadema.

Asante lakini mkuu kwa kuweka fikra na mapenzi yako bayana, nayaheshimu kabisa.
 
Katika wanasiasa wa kutumainiwa kwa ajili ya nchi hii Mtatiro naye yupo?!!HAPANA
Mtatiro ana sifa kuu zifuatazo, ambazo sisi tuliofanya nae siasa pale Chuo Kikuu tulimfahamu, na tukamtoa kwenye KUNDI LA WANASIASA-VIONGOZI WA BAADAE WA KTUMAINIWA NCHI HII:

1. Ni mtu wa kuongea tu kabla ya kufikiri..Hufikiria baada ya kutenda..
2. Hatumii logic, hupanic sana...
3. Ana vunga ana msimamo lakini muda wowote anakupotezeni..mfano: Tulipofanya mgomo kuishinikiza serikali kutoa kipengele cha madaraja katika kugawa mikopo, tukafukuzwa miezi miwili..katika kufanya juhudi za kuwarejesha wanafunzi wote salama, sisi vionogzi tulibaki Dar es salaam tukikutana na kujadiliana..haikuchukua muda akatukimbia na kukimbilia Kenya kwa ndugu zake..kisa uoga kwa Serikali.
4. Ni kiongozi mwenyye tamaa na ulafi wa madaraka kila alipo..wengi watakumbuka alivyomlipa fadhila Rais aliyemteua Deo Daudi, kwa kuendesha hila aangushwe madarakani.
-Vivyo hivyo aliwahi kuhatarisha serikali ya Mwita Magesa kuangushwa madarakani, wakati huo akiwa ni waziri wake..Mwita ilibidi amtimue madarakani..ingawaje huwa anatamba kuwa alipeleka barua ya kujiuzulu mapema..si kweli.
5. Ana 'madudu' yake ambayo hutaka kuyatimiza kwa gharama yoyote ile..aliwahi kuishinikiza kamati fulani ya uchaguzi pale DARUSO iwapitishe 'madada' flani kuwa wagombea...kamati ile hata hivyo iliwabwaga kwa kukosa vigezo...ile ilileta uhasama kwake na kwa wanakamati wale.

Huyo ndio 'mwanasiasa' MTATIRO KWA UCHACHE...
Hayo ya CHADEMA NA CUF ayajibu kwa hoja.......sio kuongea tu ilimradi anaongea

TUTOLEE SIASA ZA VYUO HAPA TUNAZUNGUMZIA MAISHA HALISI WEWE UNALETA HISTORICAL STORIES HATUHITAJI ,TUKIANZA KUZUNGUMZA HABARI ZA CHUO HAPA UTABLO;;

MTATIRO NI SNICHA SNICHA ,PUNGUANI,JINGA KAMA CLOUDS FM TUU THATS all;
 
Mtatiro atakuwa anakula kijiti naona hana hoja bali vioja tu, eti chadema haiwapendi wananchi wa zanzibar, hayo ni mawazo yako binafsi
 
Akiongea kwa hasira na kupanic, ameshangaa tamko la chadema eti haiwezi kuungana na CUF bara kwa sababu CUF visiwani wameungana na CCM. Hata hivyo aliahidi kwamba CUF bara itaendea kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kutekeleza majukumu yake.

Source Channel ten taarifa ya habari saa moja usiku

Umuhimu wa ushirikiano ndo wanauona sasa. Kwenye uchaguzi wa spika, naibu spika, wabunge wa afrika mashariki, uchaguzi wa meya mwanza na kwingineko walipigia ccm. Sasa hivi ndo wanakumbuka kuungana. WAENDE WAKAFIE MBALI.
 
kwa kweli mtatiro ni useless chap. ilibidi awe mpole kwani tartatibu na sheria zinafanana. cha msingi kama naibu katibu mkuu alipaswa atafute njia ya kiutuuzima wa kuomba support ya chadema katika hoja watazozileta kwa njia ya upole ili ziungwe mkono. alipaswa pia kuonywesha kusikitishwa kwake kwa wabunge wa chama chake kuwanyima kura wanachadema katika nafasi ya uspika na nyinginezo. halafu aje na hoja zake kwa upole na kubembelezwa. anacheza na hizi PhD za chadema huyu!
 
Huyu jamaa anayeitwa Mtatiro naona uwezo wke unazidi kupungua siku hadi siku, Huyu dogo nadhani ndio ataiuwa CUF kabisa huku bara na sijui siku hiyo ataenda CCM au atahamia Zenji.

Anajaribu kupunguza makali ya maneno, Eti Zenji kuna "serikali ya Umoja wa kitafa na si serikali ya mseto", wakati ukweli ni kwamba CCM wameungana na CUF zenji na kuwa kitu kimoja na ukizingatia wabunge wengi wa CUF ni wa Zenji itawezekanaje kuja kuungana na CDB bara ni kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Mimi naomba kuwauliza CUF hivi wamekosa kabisa viongozi na kumweka huyu dogo kwenye nafasi ya heshima ya kuwa naibu katibu mkuu? Kama kweli hawan mtu wamfundishe huyu dogo aache kuropoka.
 
TUTOLEE SIASA ZA VYUO HAPA TUNAZUNGUMZIA MAISHA HALISI WEWE UNALETA HISTORICAL STORIES HATUHITAJI ,TUKIANZA KUZUNGUMZA HABARI ZA CHUO HAPA UTABLO;;

MTATIRO NI SNICHA SNICHA ,PUNGUANI,JINGA KAMA CLOUDS FM TUU THATS all;

Nawasiwasi hujaisoma post ya Mwana wa Mtu,umesoma maneno machache ya mwanzo embu isome vizuri uchangie.
 
Back
Top Bottom