Julius Malema : Let them go to Australia and be poor

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Racists must go to Australia – but should leave the keys to their equipment and property behind, said EFF leader Julius Malema during a Human Rights Day rally in Mpumalanga on Wednesday.

"A racist country like Australia says…'EFF wants to kill white farmers – they must come to Australia'," explained Malema to a roaring and red-clad crowd at the Mpumalanga Stadium.

"If they want to go, they must go."

However, he added: "They must leave the keys of the tractors because we want to work the land; they must leave the keys of the houses, because we want to live in those houses."

"They must leave everything that they did not come with to South Africa."

He said those who emigrated must "leave quietly" because those who stayed "are too busy".

"Don’t make a noise because you will irritate us."

He believed that those who went to Australia, would be poor there. "They are rich here because they are exploiting black people."

As such, those who left, would eventually return "with the tail between their legs" and at that point "we will hire them because we will be the owners of their farms", the party leader said.

Malema said that some people and institutions misunderstood EFF members.

"Today we say: let’s talk about how are we going to expropriate land without compensation.

"We don’t know violence; we know negotiation."

Ultimately, the policy needed to be implemented because: "our land is our dignity".

Jamaa ni akili kubwa shida ni pale wanapotamani hayo mabadiliko ila hawapotayari kuyakabili, Mabadiliko yoyote mwanzoni yana failure na changamoto. Black peoples tunapenda kusikia na sio kutenda, tunapenda mafanikio yasiyo na changamoto na kiujumla. E.L alisema tunahitaji elimu, na kweli tunahitaji elimu ya kuwafanya watu wawe na uwezo wa kupambanua mambo na kujua nn wanataka.
Wasije wakatoka Misri wakakutana na vikwazo vikakatiza ndoto zao za kufika nchi ya ahadi.
 
Anajua kusimamia misimamo yake kwa kweli, anawaumiza kichwa ANC
 
Mbona kama anazungumzia mambo ambayo yanawasaidia waafrica....nadhani katika hili ANC imuunge mkono ila wamshauri tu asitumie lugha za vitisho.
Kwenye kudai haki vitisho muhimu, wanaokunyima haki zako hawawezi kukupatia kama hujazidai
 
Mi namuona kama fala.
Mana hao wazungu kwao ni south africa na sio sehemu ingine.
Wao ni rangi nyeupe tuu lakin ni wasouth africa.sasa unamfukuzaje huyo mtu aende wapi?
 
Kwao
 
Stupid malema sum times speak sense,but the question is the black people are ready to take over the land or they need more time?
 
Good question ,but they know what they are doing, let them try..
 
Mi namuona kama fala.
Mana hao wazungu kwao ni south africa na sio sehemu ingine.
Wao ni rangi nyeupe tuu lakin ni wasouth africa.sasa unamfukuzaje huyo mtu aende wapi?

Huyu jamaa hajitambui, yuko very vocal kutafuta cheap publicity basi - yaani kwa akili zake finyu anafikiri akiwafukuza wazungu na kupora mali zao na mashamba basi umaskini utakuwa ndio basi kwake na wenzake - wabantu taabu sana wivu tu na roho mbaya, uwezo wa kuendesha commercial farming hawana biashara wanaisikia kwenye radio - masaa yote wapo kwenye Shabeen wanalewa tuu, ngono, kupora na kuua Wafrica wenzao ambao si wazaliwa wa South Africa kisa eti "wanawakosesha ajira!!" yanajisahau kabisa kwamba wengi wao waliwahi kuishi Tanzania kama wakimbizi - wanakula na kulala bure kwa gharama ya Serikali yetu tukufu - hawaikumbuki kabisa fadhila ya Tanzania, bila aibu wanawanyayasa Watanzania na Wafrika wengine wanao kwenda kutafuta riziki Afrika kusini.

Wakifanya ujinga wa Mugabe wa kuwafukuza Wazungu wakulima walio hamia South Afrika tangu karne ya 17 basi watakuwa wamefanya ujinga husio na kifani, kwani nani aliye wakataza akina Maleme kutafuta aridhi wakafungua mashamba yao wakashindana na wazungu, kama hawana utaalamu/uwezo wa kufanya commercial farming waende wajifunze kutoka kwa Wazungu, wakiendelea kupalilia chuki za kibaguzi wasifikiri Wazungu wakiondoka wao watakuwa na uwezo wa kuendesha biashara hizo kwa ufanizi.
 
Huyu jamaa hajitambui, yuko very vocal kutafuta cheap publicity basi - yaani kwa akili zake finyu anafikiri akiwafukuza wazungu na kupora mali zao na mashamba basi umaskini utakuwa ndio basi kwake na wenzake - wabantu taabu sana wivu tu na roho mbaya, uwezo wa kuendesha commercial farming hawana biashara wanaisikia kwenye radio - masaa yote wapo kwenye Shabeen wanalewa tuu, ngono, kupora na kuua Wafrica wenzao ambao si wazaliwa wa South Africa kisa eti "wanawakosesha ajira!!" yanajisahau kabisa kwamba wengi wao waliwahi kuishi Tanzania kama wakimbizi - wanakula na kulala bure kwa gharama ya Serikali yetu tukufu - hawaikumbuki kabisa fadhila ya Tanzania, bila aibu wanawanyayasa Watanzania na Wafrika wengine wanao kwenda kutafuta riziki Afrika kusini.

Wakifanya ujinga wa Mugabe wa kuwafukuza Wazungu wakulima walio hamia South Afrika tangu karne ya 17 basi watakuwa wamefanya ujinga husio na kifani, kwani nani aliye wakataza akina Maleme kutafuta aridhi wakafungua mashamba yao wakashindana na wazungu, kama hawana utaalamu/uwezo wa kufanya commercial farming waende wajifunza kutoka kwa Wazungu, wakiendelea kupalilia chuki za kibaguzi wasifikiri Wazungu wakiondoka wao watakuwa na uwezo wa kuendesha biashara hizo kwa ufanizi.
True, they are planting a seed of their own destruction, however I am not on your side on the issues of Zimbabwe it is not true that Mugabe's policies to take back the native land failed their nation but it was the muzunguz and I think the same issue will happen to SA if they will persue what Malema and EFF standing for.
 
Malema hajaibuka leo kama uyoga .
Ana maono,jasiri n.a. muwazi .
HANA uswahiba n.a. waongo ,wezi n.a. uchwara uchwara!
Msimamo n.a. kauli zake tangu zamani zadhihirisha hivyo.
 
Mi namuona kama fala.
Mana hao wazungu kwao ni south africa na sio sehemu ingine.
Wao ni rangi nyeupe tuu lakin ni wasouth africa.sasa unamfukuzaje huyo mtu aende wapi?
Umesoma na kuelewa alikuwa anajibu nini? Hii ligha bado ni tatizo la kitaifa
 
Malema ni Mpumbavu fulani, kwa aina yake ya siasa Ki-Congo na Burundi, kama asingekua South Afrika na badala yake angekua huko Congo, Burundi, Uganda na Rwanda basi angekua msituni kitambo sana.
Ana jungle politics bwege huyu.
 
Malema hajaibuka leo kama uyoga .
Ana maono,jasiri n.a. muwazi .
HANA uswahiba n.a. waongo ,wezi n.a. uchwara uchwara!
Msimamo n.a. kauli zake tangu zamani zadhihirisha hivyo.

Kama Afrika Kusini hawajipendi, basi wafanye makosa ya kumpa Urais mtu mpuuzi na mpenda sifa kama MALEMA - watajuta kuzaliwa, atawajaza "like mind" wenzake kwenye key posts Serikalini vile vile na mashamba ya wazungu,viwanda na biashara nyingine nyeti atawapa marafiki zake alio kuwa nao migodini, akifikiri uendeshaji wa miradi hiyo ni sawasawa na michezo yao ya Toi Toi - mwisho wa siku Taifa litakumbwa na matatizo yaliyo kumba Taifa la Zimbabwe, juzi juzi hapa nimeona Serikali ya Zimbabwe ikiwabembeleza Wazungu warudi kuendesha biashara zao, mashamba na viwanda - MALEMA hilo halioni kwa kuwa hana uwezo wa kuona beyond his noses.

Tuwe wakweli hapa - Malema hana leadership quality aendelee na upigaji debe wake na kuchochea mahandamano, lakini linapokuja suala linalo demand matumizi ya akili na busara zilizo tukuka uwezo huo MALEMA hana, uwezi kwa mfano kumlinganisha MALEMA na Winnie Mandela, Mandela ni Gold mbele ya Base Metal (Malema).
 
ila unamlinganisha na magufuli?
 
Back
Top Bottom