Julius Malema : Let them go to Australia and be poor

Hivi hakuna "White Africans"?
Labda Albino mkuu, hao unaowaita white Africans wakikaa na Black Africans utaona wanavyo behave
images.jpeg
download.jpeg
download%20(1).jpeg
 
Stupid malema sum times speak sense,but the question is the black people are ready to take over the land or they need more time?

They can learn from Zimbabwe how their land expropriation faced the challenges. That's a good case study.
 
Bukyanagandi urais huyo Malema hata afikiriwi maana waliokaa jela enzi za kaburu tuu ambao ndio wanaonekana ndio wazalendo wa kweli Chain yake bado wengi na pia kama mzazi alifungwa au kuuawa mtoto anachukua nafasi ya baba ila sio kwa ujanja ujanja wa Malema eti aje kuwa president wa SA yeye pia anajua hilo haliwezekani..
 
Mbona kama anazungumzia mambo ambayo yanawasaidia waafrica....nadhani katika hili ANC imuunge mkono ila wamshauri tu asitumie lugha za vitisho.
Lugha laini kamwe haiwezi kukurudishia haki yako iliyopokwa.
 
Mi namuona kama fala.
Mana hao wazungu kwao ni south africa na sio sehemu ingine.
Wao ni rangi nyeupe tuu lakin ni wasouth africa.sasa unamfukuzaje huyo mtu aende wapi?
South Africa siyo kwao. Wana kwao.
 
Back
Top Bottom