Inabidi umuulize my cupcake (nyani Ngabu) kama anafaidi au lah...na kuhusu picha kuweka jikoni ...oloo usiniletee balaa kwa Cupcake no way Jose!...
Yeha nimekuelewa kuhusu Issue ya Nyerere!...Life goes on.
..hivi isije ikawa NN anakuwa mkali sana hapa mpaka anafungiwa kwa sababu analinda mali zake and anahofia anaibiwa so anamuatack kila mtu.... inakuwaje hii??
ningekumiliki walah kila mtu mume angekuwa mbaya wangu tangia siku unasema yes.
Ulikumbuka kusema ahsante kwa mama? i mean kwa urembo aliokuzaa nao.
....Kunamwanamwali mmoja aliniambia kuwa most women wanashangazwa na jinsi tunavyopiga vikumbo kujongelea maeneo ya kina-mwali. I mean hamjui kama tunafaidigi au la....
uwe na MA on sociology ama Politico studies kutoka kwenye reputable university....
My my, kama hujaolewa basi mumeo anafaidi kweli kweli.
niruhusu picha yako nikaiweke bafuni kwangu japo one week.
....Thanx kwa kunielewa kuhusu Biography ya Nyerere and i believe robot ataweka data hapa maana unajua kila mtu hapa siyo kila mtu.
Mbona unaharibu thread kama huna cha kuandika si uache
hahahah Umesubiri NN afungiwe ndio uanze kumtokea ,samahani kwa hilombona unakuwa mkali hivyo? nilikuwa najaribu kumtokea doll halafu unanipotezea timing.
Haya mambo ya Siasa hata siyawezi ila kuna mshikaji wangu ntamshtuamtumie email Kelly utapata data zaidi za chance aliyoitangaza hapa
Kelly01:
Hiyo schoolarship ina mshiko kiasi gani?
Arts masomo ya kike....Hapo ushamfunga mdomo Yoyo
Arts masomo ya kike....
sidhani.....kusoma kivulini nakubali.....angalia pay scale za arts subject na wengine sayansi...Lakini ndio wanaosoma kivulini na kula kivulini.
sidhani.....kusoma kivulini nakubali.....angalia pay scale za arts subject na wengine sayansi...
Arts masomo ya kike....
Haya sasa unatukumbusha habari zileee za Vingwinyi!.Arts masomo ya kike....
Wengine tusio London tunaweza kuipataje hiyo video?ITS black history month,today,tuesday 6th october,year of the lord 2009 at 6.30 pm Julius Nyerere will be on the screen at SHORTWAVE CINEMA,10 Bermondsey square,SE1 3UN,London-phone 02073570845-Lets pay homage to this great son of africa by attending-see you there