Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
MkapaP,
Kama nilivyosema, inabidi kwenda ndani sana sana kufahamu ninataka kusema nini. Kwa mtu mwenye mwanga, maneno kama hayo hayana maana kabisa. Ila kwa watu waliokata tamaa na maisha ya Africa, yanaweza kuleta FARAJA.
Awe Mweusi au Mzungu, haina maana yeyote kwangu. Mie leo naweza kujali jirani yangu Mchaga au Mhaya awe na maisha mazuri kwani nikikwama huwa ananisaidia na sintajali kama Mnyamwezi mwenzangu anayeishi km 5 kutoka kwangu na huwa tunakutana tu kanisani jumapili anafanikiwa au kukwama vipi. Kama kwa kusema hili neno basi kuna WEUSI wataanza kujiamini kuwa na sisi tunaweza (USA sasa kila mtu anaamini kuwa mwanae anaweza kuwa RAIS) basi na iwe hivyo hata kama wanadanganya. Kikwete aliwadanganya na bado mko hai na kuingia hasara zaidi. Kama hili litaweza kuleta faida basi Mpoto anasema "TULIPITISHE".
Naanza kuamini kuwa KINJIKITILE alikuwa na akili sana sana kuzidi wengi wetu humu ndani wasiyoliona hili.