Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Sikonge
Ngoma ile ilikuwa muitaliano , asikudanganye mtu. Kaizar angekuwa mweusi Bible ingesema kama kwa Simon wakilembe. Waitaliano hawawezi ruhusu hiyo kitu. Angalia hata kwenye timu yao ya taifa.
Mario Balotelli. Angalia uzi wa kijana na useme ni jezi ya nchi gani.