Julieth Robert (ITV) Ulikosa Khanga msibani?

Julieth Robert (ITV) Ulikosa Khanga msibani?

Mleta mada umeksa kitu cha kukosoa, JNIA sio msibani lakini kubwa zaidi pale mwandishi yuko kazini tofauti na watu wengine ni sawa na kusema na askari wa kike aende pale na khanga, kwa mazingira ya kuchukua habari kwenye msongamano wa watu lazima avae nguo itakayomfanya awe flexible kutimiza majukumu yake kukimbia huku na huko kupata habari, sio aanze kushikilia kanga zinapodondoka.
 
Mwandishi alikuwa Kazini Sio Msibani nae akienda Msibani huvaa Khanga!

Mfanyakazi wa Guest house hata akiwa Ana bleed huwa anaenda Kazini japo Kwa utamaduni wetu Dem akiwa Ana bleed haji Guest house kuliwa!
 
Kwenye taarifa ya habari ya ITV,reporter wao wa kike ameonekana akiwa amevaa suruali tena ya kubana kwenye kuriport kuwasili kwa mwili wa marehemu Samuel sitta pale JNA.
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na tamaduni zetu.
Sawa
 
angekuwa amevaa suruali ya kitenge zile za kike sijui ungeongea kitu gani....?
 
Hebu sindikiza taarifa yako na picha ili tuweze kuchangia kwa uhakika
 
maisha ya ujima yanarudi Tv yenyewe tumshukuru Mengi maana mwaka 1993 sheria ya kurusha matangazo ilikua mwisho Mkoa wa Pwani alichokifanya Mzee Mengi ni kuweka TV kubwa kila mkoa kwa hiyo toka tumeanza kuona Live tuna muda kidogo usiturudishe enzi zile tena Mkuu.
 
Ni sheria gani inayosema uvae khanga msibani? usitake kila mtu aamini unachoamini.... usitake kila mtu awe na tamaduni zako..... usitake kila mtu aamini mafundisho ya dini yako.. Tanzania is multicultural state kila mtu ni sovereign kwa kila anachokiamini ilimradi asivunje sheria. Dont make your believe to be supreme over others .
 
Back
Top Bottom