Aristides Pastory
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 348
- 60
Akili za SAMAKI.... Mwambie akatize MTWARA
kuwepo na kutokuwepo kwake chadema naona sawa tu. huu mwezi ukiisha naye ataisha yaani ndo mwisho wa kumsikia. mia
nyerere akifufuka akaipigia debe ccm akaruhusu watu wamuulize maswali kumi tu kuhusiana na uchafu wa ccm atakufa tena muda huo huo bila kujibu hata moja .big upTatizo mkuu SHONZA anajulikana tu humu JF na kwenye baadhi ya watu walio wafuatiliji wazuri wa siasa....Inabidi kwanza kujitambulisha yeye ni nani katika kupambana kwake na CDM...
Pili mitaani unapoipondea CHADEMA na DR SLAA believe me wananchi hawakuelewi...Ana kazi kubwa sana ya kufanya hili....
Tatu watanzania wameshaichoka CCM..hata akifufuka NYERERE leo na kuanza kuipigia chepuo CCM itabidi afanye kazi ya ziada...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.
Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.
CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Tusihadaike sana na kauli kuwa hana madhara. Dk Slaa mwenyewe alijua madhara yake ndio maana akawa anamzuia kuhudhuria mikutano ya uenezi mikoani. Hata alipohudhuria hakupewa nafasi ya kuzungumza. Katika siasa za kujihami kamwe huwezi kusema eti .nimezidiwa maarifa'. Hilo halipo. Kadhalika asingekuwa na madhara asingeondolewa bavicha.
Mkuu amini usiamini Nyerere akifufuka sasa hivi moja kwa moja atajiunga CHADEMA, maana ndio wenye sera murua za kiukombozi, hawezi kujichanganya na mafisadi CCM!!!Tatizo mkuu SHONZA anajulikana tu humu JF na kwenye baadhi ya watu walio wafuatiliji wazuri wa siasa....Inabidi kwanza kujitambulisha yeye ni nani katika kupambana kwake na CDM...