Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Juliana kazi yake inaanza wakati wa kampeni kuna maneno mengi yapo kwa ajili ya Dr Slaa mambo aliyokuwa anataka kuanyiwa Dr Slaa na Mbowe pamoja na Lema ikifika muda wake atafunguka.
Hii ndio sumu ambayo naizungumzia japo itakuwa CCM wala CHADEMA.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia ccm ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni bavicha na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko ccm na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. Chadema itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima
kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya cdm na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka ccm kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

Chadema watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya cdm zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

CHADEMA sasa itampeleka kijana Ben saanane akabiliane nao tena nchi nzima.Kama ni mvuto naamini Ben akipanda jukwaani hata akina mama na wasichana watavutika mbaya sana na magamba hilo linawaumiza kichwa sana kwa kuwa wanajua uwezo wa hawa wachumia tumbo ni mdogo na ben amewaacha mbali sana.Dogo ana mvuto na briliant sana.Kama alivyowamudu Masalia na pm-7 pamoja na wakubwa zao ndivyo atakavyowamudu.Uwezo wa kujenga hoja na propaganda anao yeye mwenyewe.CCM wasijidanganye.

cha msingi achukue tu tahadhari CCM wasije wakamuwahi kabla na kumdhuru.
 
Umenena jambo. Ni wakati wa Ben sasa kusimama kwenye majukwaa ili kufisha hoja zozote zenye mrengo wa masalia na PM7
 
mi sioni tatizo lolote na madhara anayoweza kuleta, acha woga, huyo ndo mwisho wake
 
Huyu mjinga tu alipelekwa London kwa mwezi mmoja akaanza kuzibuka kijinga .Pipo kuendelea kumjadili huyu dieper ni kutupotezea muda .Hebu tujadili gas Mtwara jamani CCM wanajenfa bomba .Huyu si mtu kijadiliwa.Chadema ilikuwa na akina Kaburu leo wako wapi ? Akina Lamwai NCCR , Tabwe KAFU nk .Huyu mbwelambwela tu .
 
ssm iko katika hali mbaya kuliko wakati wowote katika historia ya kuasisiwa kwake. Kadhalika promo iliyoonyeshwa na ssm taifa katika ukaribishaji wao ni ujumbe tosha kuwa wako tayari kuwatumia. Cham msingi hapa ni tahadhari ili kuhakikisha sumu itakayomwagwa inayeyushwa mapema kwa hoja mwafaka.
 
Umenena jambo. Ni wakati wa Ben sasa kusimama kwenye majukwaa ili kufisha hoja zozote zenye mrengo wa masalia na PM7

Ni kweli tena dogo Handsome balaa.CHADEMA sasa mpelekeni majukwaani atawamudu hawa kama alivyowadhibiti JF kwa hoja nzito zenye ushawishi.CCM sasa wajaribu kufanya hivyo waone
 
Akiwa nje ya system hana madhara makubwa kama alivyokuwa kwenye system hapo awali
 
Huu ndio mwisho wake kisiasa. Tunampa miezi michache tu! atakuwa toilet paper
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia ccm ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni bavicha na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko ccm na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. Chadema itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya cdm na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka ccm kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

Chadema watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya cdm zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Mkuu, binafsi ninaona kwamba anatapataap tu na hana lolote. Labda ungesema kwa mifano, ni lipi alilolisema mpaka sasa limekiuwa na athari kwa CDM?
Huyo ni mchumia tumbo tu, anajua kwa kuwa CCM wanapenda ushabiki wanaweza wakampa pesa za kuzunguka TZ kuelezea wanachofikiria kitaweza kuibomoa CDM.
 
Hahaha!! Kweli wewe chilisosi. Huyu binti hana hizo taarifa unazodhani anazo. Bahati mbaya ana sumu tu ambayo ikiachwa kusambaa itakuwa na madhara mwisho wa siku

Kama angekuwa hana lolote msingehangaika naye!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Juliana kazi yake inaanza wakati wa kampeni kuna maneno mengi yapo kwa ajili ya Dr Slaa mambo aliyokuwa anataka kuanyiwa Dr Slaa na Mbowe pamoja na Lema ikifika muda wake atafunguka.

ha ha ha ha haaa! Wakati wa kampeni atakuwa anaitwa marehemu juliana --- marehemu wa kisiasa lakini. Huyu saizi yake aende sinza mori akatafute rizki.
 
Hahahahaaaa mkuu Zumbemkuu...hivi huyu ni wa Ubungo? hapana bana mtoto wa mbeya huyu ndiko alikozaliwa.
 
Huyu hana kitu chochote kile, kama ni hizo porojo zao watu wanazijua. Kumbuka hayo unayoyahofia wewe atayasemea wapi? anashindwa kufanya mikutano Mangula na Kinana kisa kuzomewa ije kuwa huyu mtoto. CDM ina hazina kubwa sana kwa sasa na hakuna chama chenye hazina ya watu wenye upeo mkubwa kwa sasa kama CDM. Apande jukwaani aseme tumjibu uone kama atarudia kupanda tena. Sijawahi kumhofia mtu kama huyu katika maisha ya chadema hata akipewa helkopta azunguke nchi nzima. Mtaani maisha magumu halafu anatokea mtu eti mtetezi wa CCM aliyetoka chadema anaitetea wakati wananchi wanaamini kama sio chadema wangekuwa pabaya zaidi ya hapo. Afanye mikutano ya ndani ya ccm tu.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia ccm ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni bavicha na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko ccm na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. Chadema itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya cdm na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka ccm kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

Chadema watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya cdm zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Mimi naamini ni wakati wa watanzania kuamka na kutaka mabadiliko,Msaliti wa chama cha upinzani chenye nguvu si msaliti wa chama hicho bali ni msaliti wa watanzania wote
Hebu tuangalie historia: CDM ni chama cha tatu cha upinzani kuibuka kuwa na nguvu kisiasa ,ilianza NCCR-Mageuzi mwaka 1995,wakatokea wasaliti chama kikaanguka,tukadhani imeanguka NCCR.Ikafuatia CUF wakatokea wasaliti CUF ikaangua uchaguzi mkuu 2000 japo mbinu za vitu vya ncha kali zilitumika.Na katika kuanguka kwa vyama hivyo tunaoendelea kuumia ni sisi watz wa hali ya chini,mara hii ni CDM nayo nionavyo mimi mbinu chafu zimeanza ili nayo ianguke.
Hivi watz kwa nini tusishtuke tukasema hapana kwa wasaliti wanaotaka tuendelee kuteseka huku wao wakila maisha.
Tusitegemee mabadiliko ya msingi kama hatutabadilisha serikali iliyoko madarakani,na kuibadilisha ni kukiunga mkono chama cha upinzani chenye nguvu na mvuto kwa taifa zima.Juliana sonza ni mmoja ktk mamilioni ya watz,tuchukulie ni unyasi mmoja umedondoka kutoka paa la nyumba iliyoezekwa na nyasi,ni muda muafaka wa kusema 'No' kwa Juliana sonza kama tunavyosema hivyo kwa magonjwa ya ukimwi ili taifa letu lisonge mbele. JULIANA AMEOMBA MSAMAHA KWA MAFISADI!! KWANGU HII INAMAANISHA:ALIKUWA AMEPOTEA ALIPOAMUA KWENDA KUPIGANIA WATANZANIA,SASA AMERUDI ILI KUWAPONZA WATANZANIA.Huu si wakati wa kucheka ni wakati wakuonyesha msimamo wa kupingana na fikra za ubinafsi uliovaa ngozi za kijamaa.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia ccm ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni bavicha na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko ccm na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. Chadema itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya cdm na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka ccm kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

Chadema watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya cdm zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

HAMNA LOLOTE,HAWEZI KUTISHA KULIKO UKIMWI,kitendo cha kuomba msamaha kwa mafisadi kimemmaliza hana tena mvuto.na kwa kuwa ni binti ataolewa na mme kutoka CDM atatosha kumdhibiti.
 
Back
Top Bottom