Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter
- #21
Mkuu hao wengine waliishia kuwa vipoozeo maana hawakuwa na hii 'courage' ya kujitokeza hadharani na kumwaga sumu. Sasa huyu ni mmwaga sumu na who knows akawa kiburudishomkuu Raia Fulani unaniangusha bana, ana uzuri gani aisee? hujawahi kuona mabinti waliopo CCM wewe, kuna mabinti ni wazuri balaa, yaani inasikitisha kuwaona wapo CCM, ni warembo kinoma lakini bado hawasikilizwi kwenye majukwaa sembuse huyo kipori shonza?
kule kwetu Lushoto binti kama Shonza tunamuita kinukachupi kichamba na umande.