Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

I can see it.
Na sasa wameanza na Mnyika na sualanla elimu, na badluck it is true, kuwa kulikuwa na uongo kwa wananchi juu ya elimu ya Mnyika.
Mungu saidia chama chetu Chadema, hawa mashetani washindwe.
 
Mimi sioni kama analolote jipya. Nyimbo za CCM chini ya Nape ni zile zile za Ukabila, Ukanda, Udini na Jinsia. Bahati mbaya wanaimba nyimbo hatari kwa kuwanyooshea wenzao vidole bila kujua kuwa wao ndio wanaopanda mbegu hizo ambazo zimeleta athari ndani ya CCM yenyewe na sasa zinaendelea kuathiri watanzania. Tayari tumeanza kushuhudia mauji kwasababu za kidini. Bahati mbaya sana hata mtandao wa CCM ulitumia nyimbo hizo kuingia madarakani. Mwenye ushuhuda mzuri wa haya ni Dr. Salim Ahamed Salim. Alipogombea urais ghafla akaonekana sio Mtanzania eti kwakuwa babake ni Mwarabu. Wakati huo Karume anayezaliwa na mama mwarabu akawa mtanzania. Mimi nawashauri waache nyimbo hizi waimbe sera za chama chao kwani hayo hayana tija kama yale ya kadi na mke wa mtu kuyafanya sera za CCM majukwaani. Hivi ndani ya CCM hakuna Mwalimu anayeweza kuwakalisha chini Nape, Mwigulu na sasa Juliana na kuwafundisha mambo ya msingi ya kusema?

Katibu mkuu wa CCM bwana Kinana anatofautiana sana na hawa kwani yeye toka ameingia anazungumizia issues na sio personalities. Hili limemjengea heshima pamoja na udhaifu binafsi alionao. Mwingine ambaye naye anapoteza mwelekeo ni Mzee wa Mabugando. Otherwise Kinana ni mfano wa kiongozi bora katika kupambana na upinzani kuliko hao vijana ambao wanaacha sera na kuzungumzia udini, ukabila, ukanda na jinsia.
 
Hana madhara bali ni system ya chama ndo yaweza kumkuza au kumpoteza akaonekana siye au ndie,wabongo wa siku hizi wana uwezo wa kupima
 
Chadema mmepata kiboko yenu. Beuty la kuua mtu mvuto elfu angalia hao waliobaki chadema hahahahaha. Kama haiwaumi mbona mnaratibu kuondoa maoni ya watu wa ccm kwenye huu mtandao ili mzidi kijidanganya wenyewe kwa wenyewe?? Kweli ninyi ni wana demokrasia
 
Kitendo cha kufukuzwa kimempotezea umaarufu! Angejiuzulu ingekuwa afadhali
 
I can see it.
Na sasa wameanza na Mnyika na sualanla elimu, na badluck it is true, kuwa kulikuwa na uongo kwa wananchi juu ya elimu ya Mnyika.
Mungu saidia chama chetu Chadema, hawa mashetani washindwe.

Hope it is not true about his education
 
-Nafikiri CDM tunataka changamoto na huko mikoani anaenda kuitangaza zaidi chadema na si ccm kama wengi wanavyofikiri.
-Na hata hii safari anaweza asifike mbali akapewa ujauzito na wasira, sasa fikiria una mtoto wa wasira tumboni kwanza uzito wa kichwa inabidi wakupe bed rest.
 
atakutana na M4C kweny mizunguko yake. hapo ndo ataomba poo
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???
 
Ningeshauri watu wote wenye kufikiri sawa sawa wamuweke Shonza kwenye 'ignore list' akipost utumbo wake asome yeye na akina Ritz. Watu wanajadili msiba wa kitaifa wa kufeli watoto yeye analeta utani.
 
Shonza atauzwa na yule Mbunge wa Temeke kwenda Uarabuni kuwa Mtumwa, njaa inamsumbua. Njaa inayomsumbua ataishia mikononi mwa Mwigulu na kuwa kiburudisho
 
Mi naunga mkono hoja. Inatakiwa wakipost ujinga ni kuwaachia kina ritz, zemarcopolo, chama na wengineo wampe support.
tuconcetrate kwenye ukomboz wa nchi yetu
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???

Wazo zur mkuu, kwani kakitengo kao mkuu wao ni G. KUNAMBI.....
 
Anajidhalilisha sana...
Huyo mshikaji wake aliyenae namuonea huruma.
 
Daaah..Nimekoswa koswa kula BAN sababu ya huyu binti yaani nataka niweke post yangu tu naambiwa thread imefungwa.Aiseee kanatia hasira haka kademu.
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???

Ulichosema ni kweli,lakini kuna mambo mengine anayoleta hapa jamvini siyo ya kuyanyamazia kwani anapotosha jamii,siyo wote wenye uelewa sawa.

lazima inapobidi kuweka kumbukumbu sahihi.

"ukimya wa makabulini haimaanishi wote wako peponi"
 
Ila hizi details zimewakimbiza:
quote_icon.png
By MUZEEZAIDI
Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomnd wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

So akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.
 
Dada Shonza kaweka uzi huu leo "kwa matokeo haya ya form four". Cha kushangaza ule uzi ulikuwa hauendani na kichwa cha habari, kawakanda wapinzani, Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Sugu na Msigwa kana kwamba wao ndio wamesababisha matokeo mabaya. Shonza, "number don't lie" Angalia trend ya matokeo ya form four hapa toka utawala wa DHAIFU. "CURE FEVER OF YOUR OWN BEFORE START WRITTING PRESCRIPTIONS TO OTHERS"

Namashaka kama utakua unaweza kusoma graphs. Kama unauwezo wa kusoma graphs ni matumaini yangu utakuja kurekebisha ule uzi wako
"kwa matokeo haya ya form four". Na kuweka accountability kwa "FAILURE POLICIES OF CCM ON EDUCATION"

FYI: MATOKEO HAYO YA FORM FOUR YANA REFLECT
"FAILURE POLICIES OF CCM ON EDUCATION"...This simple!

Chart ya matokeo ya form four, 2002-2012

View attachment 84160
Div 4 and zero trend, 2008-2012

View attachment 84161
 
Back
Top Bottom