Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,045
Nachojiuliza huko ccm huyu ndiyo kawa msemaji wa chama? Kamrithi lini nape? Hazungumzii kawa-mbwa kujiuzulu ? Anazungumzia elimu ya mbowe na. Hivi akitimuliwa tena ccm ataenda wapi kwa maneno gani tena. Hilo karatasi alilopewa chuo kikuu ndiyo anaringia ? Na anajua yapo mangapi huku watu wametundika ukutani hayana issue!!! Hivi yeye ndiye wa kwanza kusoma hamna wengine hichochuo kilianza mwaka gani kila mwaka kinatoa watu.