Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Nazi ya Msoga ina Degree ya UCHUMI lkn aliulizwa kwanini nchi yako ni maskini akasema hata mimi SIJUI,,,jamani si kituko hicho?,,ELIMU SIO VYETI,UNAWEZA SOMA USIELIMIKE
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Huyu dada sasa ndio ananitoka kabisa, ana uhuru wa Kwenda chama chochote, lakini mambo anayoyaongea yanamuaibisha kabisa,
Nadhani wala hajui SADC inajumla ya nchi ngapi na zinaongozwa na nani
Dada Juliana Shonza, SOUTH AFRICA PIA IPO SADC NA RAIS WAKE NI JACOB ZUMA

na hii ndio Biography yake

"His father died at the end of World War II, after which his mother took up employment as a domestic worker in Durban. He spent his childhood moving between Zululand and the suburbs of Durban, and by age 15 took on odd jobs to supplement his mother's income.

Owing to his deprived childhood, Jacob Zuma did not receive any formal schooling. Heavily influenced by a trade unionist family member, he became involved in politics at an early age and joined the African National Congress in 1959. He became an active member of Umkhonto We Sizwe in 1962, following the banning of the ANC in 1960."

Source:Biography of Jacob ZUMA
 
nikiri tu kwamba simfahamu vizuri huyu binti ambaye aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa BAVICHA,ushauri wangu kwa huyu Juliana Shonza ni wazi kuwa anaonekana kuwa anatatizo la malezi,wazazi wake hawakufanyakazi yao vizuri,ni kijana ambaye alitakiwa kuwa na mustakabali mzuri wa maisha yake lakini amekubali kutumiwa na kufanyakazi ya kujidhalilisha,pamoja na elimu anayotamba kuwa nayo kama kweli anayo ingawa elimu haionekani kumsaidia chochote hadi sasa!?

kijana mwenye akili timamu na elimu ya kawaida tu ya sekondari hawezi kiufanya kazi ya aibu na fedhea kama anayofanya huyu binti ya ukibaraka/umamluki anadhalilisha familia na wazazi wake kama anao,aibu iwafike popote walipo hata kama ni ahera!

asichokijua huyu binti ni tunda atakalovuna kwa dhambi ya usaliti aliyowafanyia vijana wa Tanzania kupitia BAVICHA,kama kweli ni kijana msomi kama anavyomdhalilisha mwenyekiti wa CHADEMA kuwa hajasoma,afanye kautafiti kadogo tu kujua wanasiasa waliopata kutumikishwa(kwa ukibaraka na umamluki) na CCM kama yeye kwenda kufanya kazi ya usaliti na umamluki kwenye vyama vya upinzani vilivyokuwa na mwelekeo mzuri kama vile NCCR-MAGEUZI,CUF,TLP UDP NK NK walifikia wapi kwenye safari yao hiyo?na yeye ndiko huko huko anakoelekea!

kwa kijana mtanzania msomi kwa kiwango cha walau digrii moja ukikubali kutumwa kwenda kufanyakazi ya ukibaraka kama alivyofanya Juliana Shonza ni wazi kuwa umeshajiaribia maisha yako kisiasa kwani hata yule aliyekutuma kazi hiyo anakudharau na hatokaa akuamini maishani mwake!

Juliana pata ushauri kutoka kwa waliokutangulia kama Dr.Lamwai-NCCR-MAGEUZI,Msabaha-CUF,Tambwe Hizza-CUF/CCM
 
Naamini katika uwezo na si kujaza vyeti. Huyu Mbowe mnayemkejeli ati form four, watanzania tunamwona kama ni nuru ya kweli ya uongozi dhabiti, ndio maana katika uongozi wake, CDM imepaa. Toka wabunge wanne mpaka 50, toka Halmashauri mbili, mpaka majiji mawili na halmashauri kibao. (Arusha na Mwanza zinaongozwa na CDM kikanuni), Na ilibaki kidogo wachukue na jiji la Mbeya, mpaka leo kule mgogoro wa meya na madiwani wake hauishi. Bukoba, moto unawaka , sera za CDM ndizo zinapigiwa debe na madiwani wengi. Kwa sasa mpaka vitongoji viitishapo uchaguzi, CDM inang'ara. Katika chaguzi za madiwani, takriban 30% ya viti vya CCM vilichukuliwa na CDM. CCM haikunyang'anya hata kiti kimoja. Uchaguzi wa vitongoji, zaidi ya 50% ya viti vilivyokuwa vya CCM vilienda CDM. Hayo ndio matunda ya viongozi wabunifu, na wachapakazi wakiongozwa na Mbowe. Hebu tuangalie mafanikio ya Dr. J.M. Kikwete. Mwenyekiti wa CCM. 1. Kasaidia sana kuifanya CCM ipingane na katiba yake yenyewe kwa kusimamia rushwa kwenye chaguzi za CCM. 2. Ni muasisi wa mipasuko ya wazi katika chama (wanamtandao), 3. Ni muasisi wa mpasuko wa kitaifa kwa kuasisi hoja ya udini (Mtaji wa Shonza). 4. Ni mfuasi wa dhana iliyopingwa sana na waasisi wa chama chake "kujitegemea" na kuzama kwenye utegemezi "misaada". 5. Kwa jinsi alivyozoea kuvunja katiba, si tu ya chama chake bali ya nchi nzima, i. Amesamehe wezi wa EPA kabla ya mahakama kutoa hukumu, ii. Anafumbia macho aina zote za uhalifu, wakiwemo wauza madawa ya kulevya ambayo orodha yao anayo, lakini hataki kuwafikisha kwa DPP (mteule wake), iii. kamteua mbunge kutoka zanzibar kuwa waziri wa wizara isiyo ya muungano. 6. Ongezea Shonza.
To CDM Mbowe is a hero.
 
Juliana Juliana Juliana umeacha ulokole mdogo wangu?? Mama Shonza wa Mabibo Loyola analitambua hilo?? acha kutangatanga.

Tena tuwaombe Mama Shonza na washirika wa EAGT Mabibo enseleeni kumuombea huyu binti,
maana kwa mwendo anoenda nao muda si mrefu atabeba nguo kichwani" maana kumbukeni
mapepo yanarudi mara saba ukimwacha Yesu"
 
Huyu mtu ni nani katika huu ulimwengu mbona anapewa airtime hivi?
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name:Mbowe
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1260.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
Company Name
Bank of TanzaniaBank Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
 
nikiri tu kwamba simfahamu vizuri huyu binti ambaye aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa BAVICHA,ushauri wangu kwa huyu Juliana Shonza ni wazi kuwa anaonekana kuwa anatatizo la malezi,wazazi wake hawakufanyakazi yao vizuri,ni kijana ambaye alitakiwa kuwa na mustakabali mzuri wa maisha yake lakini amekubali kutumiwa na kufanyakazi ya kujidhalilisha,pamoja na elimu anayotamba kuwa nayo kama kweli anayo ingawa elimu haionekani kumsaidia chochote hadi sasa!?

kijana mwenye akili timamu na elimu ya kawaida tu ya sekondari hawezi kiufanya kazi ya aibu na fedhea kama anayofanya huyu binti ya ukibaraka/umamluki anadhalilisha familia na wazazi wake kama anao,aibu iwafike popote walipo hata kama ni ahera!

asichokijua huyu binti ni tunda atakalovuna kwa dhambi ya usaliti aliyowafanyia vijana wa Tanzania kupitia BAVICHA,kama kweli ni kijana msomi kama anavyomdhalilisha mwenyekiti wa CHADEMA kuwa hajasoma,afanye kautafiti kadogo tu kujua wanasiasa waliopata kutumikishwa(kwa ukibaraka na umamluki) na CCM kama yeye kwenda kufanya kazi ya usaliti na umamluki kwenye vyama vya upinzani vilivyokuwa na mwelekeo mzuri kama vile NCCR-MAGEUZI,CUF,TLP UDP NK NK walifikia wapi kwenye safari yao hiyo?na yeye ndiko huko huko anakoelekea!

kwa kijana mtanzania msomi kwa kiwango cha walau digrii moja ukikubali kutumwa kwenda kufanyakazi ya ukibaraka kama alivyofanya Juliana Shonza ni wazi kuwa umeshajiaribia maisha yako kisiasa kwani hata yule aliyekutuma kazi hiyo anakudharau na hatokaa akuamini maishani mwake!

Juliana pata ushauri kutoka kwa waliokutangulia kama Dr.Lamwai-NCCR-MAGEUZI,Msabaha-CUF,Tambwe Hizza-CUF/CCM

Mkuu jingojames tatizo la huyu binti siyo malezi kwa wazazi la"alilelewa katika malezi mazuri ya kikristo
aliyekuwa mliokole mzuri,shida yake ya usaliti ilianzia pale alipomsaliti Yesu na kugeuka kurudi dhambini,
ndiyo maana haoni shida tena kumsaliti mwanadamu awaye yote maana aliweza kumsaliti Mungu"
 
chadema ni taasisi ya kimasilahi ambayo inaongozwa na watu wachache, ikitumia matatizo ya watanzania kujinufaisha...
 
By scramble fanya utafiti wa kina unaweza unaweza ukapewa PhD bila kuwa na Master kama utaweza kujastify na unapokuwa umefanya outstanding perfomance kwenye eno usika!ndiyo maana Sumaye Fredrick ana ordinary Diploma na Master to Harvad usijiulize First Degree.
Egerton Agricultural College
(Diploma)
Harvard Kennedy School
(MPA)

outstanding performance inaweza ikawashawishi senate ya chuo kuvusha.

Aka kajamaa kalianza ufisadi mapema..,na elimu yake ya form four leaver alipataje kazi BOT????
 
Attachments

  • mbowe CV.jpg
    mbowe CV.jpg
    96.1 KB · Views: 86
Kamanda wa Anga kumbe shule hakuna balaaaa hili.Ila anavyovuta ile peoplessssssss anaipatia kumbe shule chalii.Peoplessssssss
 
By scramble fanya utafiti wa kina unaweza unaweza ukapewa PhD bila kuwa na Master kama utaweza kujastify na unapokuwa umefanya outstanding perfomance kwenye eno usika!ndiyo maana Sumaye Fredrick ana ordinary Diploma na Master to Harvad usijiulize First Degree.
Egerton Agricultural College(Diploma)
Harvard Kennedy School(MPA)

outstanding performance inaweza ikawashawishi senate ya chuo kuvusha.

hakuna iko kitu katika dunia hii..,hawa jamaa magumashi wameanza kitambo.,jamaa wameunga unga elimu kisha wanajiita ma-dr...!
 
Hahaha! Binti anajazba baada ya kutimuliwa CDM kama mbwa mwizi.
Nashukuru Mungu mmesadiki kuwa Dr. Slaa ndiyo rais ajaye.

NB:
CONDOM moja ni kwa kila tendo moja tu, sasa baada ya tendo hili matumizi yenu yatakuwa yameisha na tutawamis sana wasaliti.

MKUU, una akili sana Nadhani utakuwa ni miongoni mwa wale watu wachache walio na uwezo wa kuchanganuwa Mambo!
Huyu Kahaba wa "KISIASA"anataka kuanzisha Ligi na Kamanda wa Anga ili Kujitafutia Umaarufu wa Kise...nge!!
Ni kweli Kondom haitumiki mara mbili ila kwa baadhi ya Vijiji kama kule kwa kina MWIGULU MZINZI,huwa zikisha tumika "ZINAFULIWA" na kuanikwa! Kwa hiyo hata huyu KAHABA wa Kisiasa atatumika hata zaidi ya mara mbili.kama kuna atakaye bisha akamuulize MWIGULU MZINZI!

Nimependa hapo anapokirr huyu KAHABA kwamba Dk SLAA, atakuwa rais,.kama shida yake ni hataki Mbowe awe Waziri Mkuu,basi asiogope kwani tuna Majembe Mengi ndani ya Chadema!! Ila kuwashwa kwake na Mambo ya Chadema, Hatushangai kwani Mtalaka "HATONGOZWI" bali Hujitongozesha!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Frederick Tluway Sumaye (born 1950) is the former Prime Minister of Tanzania. He was Prime Minister since the first multi-party elections on 28 November 1995 until 30 December 2005. After leaving office, in 2006 he enrolled for a year as a mid-career student in the Edward S. Mason Program at the John F. Kennedy School of Government at Harvard University, earning aMaster of Public Administration.

usifananishe mitaala ya UDOM,UDSM,MU na ya nchi z mbele wenzetu wako mbali zaidi!hivyo Dr.SLAA PhD YAKE KATIKA SHERIA ZA KANISA na yeye akiwa ni Padre kwa kanisa hiko vizuri bwana kama unamashaka neda TCU WALA SI KAMA ILE YA jk yeye Dr SLAA AMEISOTE YA KWAKWE KWA MIAKA MITANO!
 
Mtu anashindwa Upadri ije kuwa huyu binti wewe wa wapi.

Back
Top Bottom